Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.

> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.



IMG_4270.JPG
 
Hilo sio tatizo na wala sio habari ya kusisimua.

Umezaliwa na kusoma kwa jina la Daudi Bashite kuanzia primary mpaka Secondary.

Una-fail form 4 alafu unatumia cheti cha mtu mwingine kwenda chuo alafu unakuwa mkuu wa mkoa kwa jina la Paul Makonda.

Baadae siri zinatoka badala ya kutoa vyeti ili ujitetee unaamua kwenda kulia kanisani ili upate huruma za wananchi.

Hili sasa ndio TATIZO na hii ndio habari ya kusisimua.
 
Back
Top Bottom