Kwanini Diamond akimuona Ally Kiba huwa anapaniki sana na kupelekea kuharibu jukwaani?

Kungarochi

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
271
572
Nimekuwa nikifatilia performance nyingi zinazowakutanisha Alikiba na Diamond jukwa moja, huwa inampanikisha sana Diamond na kupelekea kufanya performance mbovu sana. Kama mnakumbuka kwenye Tuzo za MTV Africa music award MAMA, Alikiba na Diamond walikutanushwa na jukwaa moja usiku ule. Alikiba alifanya makamuzi mazuri sana akiwa ka relax na kufanya performance ya kueleweka lakini ulipofika wakati wa Diamond aliingia kapaniki makelele tu wala haeleweki nikahisi may be kwa kuwa na jukwaa la kimataifa limepelekea kupaniki.

Hii kitu imejitokeza tena leo pale Dodoma kweny mkutano wa wanachama wa ccm. Alikiba kapiga show safi ya maana na ya kueleweka akiwa very calm sauti inasikika safi kabisa mtu unainjoi kufatilia utumbuizaji bora kutoka kwa kijana huyu wa kariakoo. Lakini alipokuja kuingia mtt wa Tandale hali imekuwa tofauti kabisa kafanya show mbovu sana kelele kuruka ruka pumzi hamuna yaani in-short hakuna alichofanya kazidiwa hadi na mtt wake Zuchu kafanya performance nzuri kabisa.

Diamond unatuangusha sana mashabiki zako kwa nn Alikiba anakuwa anachukua point kizembe sana kila mnapokutanishwa kwa jukwaa moja? Next time jaribu ku-relax bhana acha kukamia ili uonekane umefanya show kali kuzidi mwenzio. Mbona kwny show ukiwa mwenyewe mbn unakuwa vizuri tu nini kinakufanya unakuwa unapaniki kiasi icho unatuaibisha sana mashabiki zako.
 
Nimefatilia mwanzo mwisho,,ni mambo ya kawaida tu,,ni wenye mihemko kama wewe tu ndo wataona kwamba amepaniki au laa,,hauwezi ku decide kwaajili ya watu wote bwana mdogo

Huwo ni ukwl kuwa diamond palipo alikiba huwa anapaniki sana siyo mara ya kwanza.
 
Daaah aya mzee baba ila jamaa kanikela sana kazidiwa hadi na zuchu!
Pale mawazo yako unataka kulazimisha kuwa ya kila mtu.

Wasanii wanaopiga show nzuri wanafahamika ndio maana Mondi January tu kawa booked show zaidi ya 30 corona imeharibu,mwaka jana show karibu 90 kapiga,sasa hao mapromota walio weka hela yao kwa Mondi hawajui kuliko ww unayetupigia kelele.
 
Kama umeusoma vizuri uzi wng nimebainisha kabisa diamond akiwa mwenyewe huwa napiga showa nzuri hata mm huwa nafurahia kumtazama ila hali huwa tofauti endapo hasimu ake alikiba atakuwepo, lazima aharibu tu jaribu kufatilia.
 
Wee andeleea kulazimisha mawazo yako kutaka kufanana na kila mtu,ila ukweli moyoni unaujua Diamond hawezi muogopa huyo jamaa yako.

Namsikia hapa jamaa yako ktk show ya leo anawalazimisha watu "nyoosha mikono juu.."
😀
 
Kama umeusoma vizuri uzi wng nimebainisha kabisa diamond akiwa mwenyewe huwa napiga showa nzuri hata mm huwa nafurahia kumtazama ila hali huwa tofauti endapo hasimu ake alikiba atakuwepo, lazima aharibu tu jaribu kufatilia.
Chuki tu inakusumbua bwana mdogo,,hiyo roho yako hiyo ukizeeka lazima uwe mchawi..
 
Back
Top Bottom