Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Huyu mheshimiwa nilianza kumsikia kupitia redio fulani ya dini mwaka jana kama sikosei. Baadae nikamsikia ile redio yenye beef na mbunge ana kipindi cha weekend tu sijui wiki nzima ndo anakula bata tuu hainihusu

Juzi kati nimemkuta akisherehesha harusi fulani nilifurahi mwanzoni lakini baadae sikufurahishwa sana na jinsi alivyoiendesha ile shughuli huwa sipendi kuongea sana lakini sikupenda alivyokua amejipigilia make-ups na kutinda nyusi that is one pia sikupenda alivyokuwa anahandle ile sherehe its like it was not that too man enough!! nawasilisha mawazo yangu
improve something brah unless otherwise stated.
 
Majungu.com
je ulimuuliza kwanini unatinda nyusi?
Je ulimweleza hayo mengine yaliyokukera?
Kama hukumweleza unataka sisi tukusaidie vipi?

sio majungu bwana buji...............unajua unapokua MC watu ni rahisi sana kukuona kuliko yeye kuniona mini..by the way sikupata ata confidence ya kumsogelea achilia mbali kuonana nae....

nimeelezea nilichokiona..sio majungu maana sijasikia wala kuambiwa..nimejionea mwenyewe..na njia pekee ni hii kama atasoma ajirekebishe maana watu kadhaa ambao ni WANAUME tulifedheheka
 
Mbona ana family ni mume na ni baba,labda ni rumors tu kwa vile anajipenda sana.

Kaka kujipenda hadi ukatinda nyusi kama mwanamke mmmmh hapo pana ulakini, sio kila punga hana uwezo wa kuzalisha miaka ya 90's nimefanya kazi kwenye shirika moja la umma kulikuwa na bwana mmoja anafanya kazi na mkewe offisi moja amini usiamini huyo papa alikuwa punga na chakuchelesha alikuwa anatembea na mwamnaume mwenzie wanaefanya kazi wote na mkewe nae akawa anatembea na mtu wa hapohapo kazini.

Kitu walichokifanya ni wale waliokuwa wanatembea na mke na mme wakawa marafiki sasa mmoja wao akiwa na hamu na mpenzi wake wanapanga kila mtuanamchukua wake wanatoka ila yule anaye tembea na mama anakuwa wakwanza kumrelease mama ili asishtukiwe then baada ya saa moja baba nae anaruhusiwa kurudi nyumbani. na hii habari karibu watu wote walikuwa wanajua pale ofisini ila kwao iliwekwa kama siri kubwa sana, huyo mama alizaa watoto 3 na huyo baba ambaye ni mume wa ndoa ya kanisani. hivyo basi usimsemee mwenzio kwani hujui undani wake
 
Kaka kujipenda hadi ukatinda nyusi kama mwanamke mmmmh????????? hapo pana ulakini, sio kila punga hana uwezo wa kuzalisha miaka ya 90's nimefanya kazi kwenye shirika moja la umma kulikuwa na bwana mmoja anafanya kazi na mkewe offisi moja amini usiamini huyo papa alikuwa punga na chakuchelesha alikuwa anatembea na mwamnaume mwenzie wanaefanya kazi wote na mkewe nae akawa anatembea na mtu wa hapohapo kazini, kitu walichokifanya ni wale waliokuwa wanatembea na mke na mme wakawa marafiki sasa mmoja wao akiwa na hamu na mpenzi wake wanapanga kila mtuanamchukua wake wanatoka ila yule anaye tembea na mama anakuwa wakwanza kumrelease mama ili asishtukiwe then baada ya saa moja baba nae anaruhusiwa kurudi nyumbani. na hii habari karibu watu wote walikuwa wanajua pale ofisini ila kwao iliwekwa kama siri kubwa sana, huyo mama alizaa watoto 3 na huyo baba ambaye ni mume wa ndoa ya kanisani. hivyo basi usimsemee mwenzio kwani hujui undani wake

hii habari ni ya kusikitisha sana.....unaweza kufahamu mwisho ulikuwaje?
 
anakosea pale anaporemba mno .. uswazi tunasema kuchamba kwingi kutoka na m@vi

Juzi hapa alianza kuuliza wasanii kuhusu kama wana mademu au kama ndio haohao nk. which to me doesnt appeal kwa kipindi

songs selection is also something to review
he has to work on the whole thing....
kipindi kizima atacheza nyimbo sijui 'kumi', muda unaobaki mpaka awapaishe washikaji zake sijui wako china, marekani, japan....aaagrrrr yaani fulu kuboa!!!

his selection is monotonous...boring!!!
na hivi ni lazima apige kwaya za dhehebu fulani tu? (au madhehebu machache so to say)
 
Kaka kujipenda hadi ukatinda nyusi kama mwanamke mmmmh????????? hapo pana ulakini, sio kila punga hana uwezo wa kuzalisha miaka ya 90's nimefanya kazi kwenye shirika moja la umma kulikuwa na bwana mmoja anafanya kazi na mkewe offisi moja amini usiamini huyo papa alikuwa punga na chakuchelesha alikuwa anatembea na mwamnaume mwenzie wanaefanya kazi wote na mkewe nae akawa anatembea na mtu wa hapohapo kazini, kitu walichokifanya ni wale waliokuwa wanatembea na mke na mme wakawa marafiki sasa mmoja wao akiwa na hamu na mpenzi wake wanapanga kila mtuanamchukua wake wanatoka ila yule anaye tembea na mama anakuwa wakwanza kumrelease mama ili asishtukiwe then baada ya saa moja baba nae anaruhusiwa kurudi nyumbani. na hii habari karibu watu wote walikuwa wanajua pale ofisini ila kwao iliwekwa kama siri kubwa sana, huyo mama alizaa watoto 3 na huyo baba ambaye ni mume wa ndoa ya kanisani. hivyo basi usimsemee mwenzio kwani hujui undani wake

this is too revealing
 
nisaidie kushangaa....

ila sipendi kabisa anavyokiendesha kipindi cha gospo traks, it used to be my fav on sunday monings
anaongea saaaaana, na mambo ya kupaisha paisha watu
amenikera mpaka nammiss yule jamaa wa kabla yake!!!!

Nakuunga mkono bht. Harris ameharibu sana Gospel tracks. maneno mengiiiiii. na manyimbo yasiokuwa na ladha. CLOUDS MRUDISHENI BROTHER ALEX JAMANI Tunammiss sana
 
Mmmh....jamaaani majungu.com ni noumaaa,hilo suala la yeye kuwa BOFLO hata mimi napinga. Nimefanya nae kazi STANBIC BANK -head offoce kabla hajaingia Clouds fm na alikuwa saafi tu. Wala hizo mambo za BOFLO hatukuziona au ndo kusema haifai kuwa msafi na mtanashati...au kwakuwa anaenda kufanya scrubin... muacheni kaka wa watu,ana familia yake na ina muheshimu kama nguzo ya familia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom