upumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Baadhi ya sababu za kukataa kuoa, hoja zangu ni katika mtazamo wa kukataa kuuishi Ujinga na Upumbavu

    Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na...
  2. Heparin

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  3. M

    Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

    Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
  4. Kiboko ya Jiwe

    Sasa adui wa Taifa la Tanzania si ujinga bali ni upumbavu

    UPUMBAVU ni hali ya mtu au watu waliopata elimu lakini wameshindwa kuitumia kujikomboa wao wenyewe au kuikomboa jamii yao katika adha , dhiki, shida au aina yoyote ya mkwamo. MPUMBAVU, ni mtu alitebahatika kupata elimu lakini kwa makusudi kabisa au kwa kutokujua hawezi kuitumia elimu yake...
  5. Mto Songwe

    Mnapenda Pesa anazotoa Rais katika makanisa yenu lakini mnachukia misimamo ya viongozi wa makanisa yenu huu ni upumbavu

    Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini. Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa dini hizi mbili Ukristo na Uislam. Sio kweli kuwa Tanzania hakuna udini kama katiba inavyosema...
  6. GENTAMYCINE

    Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba Adui aliyekuzidi Akili, Maarifa na Mbinu ni Upumbavu mkubwa

    Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua. Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa...
  7. passion_amo1

    Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
  8. tpaul

    Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
  9. GENTAMYCINE

    Nashauri kufungwe kamera katika Miundombinu muhimu ili wanaoiharibu walipe faini au waishie jela

    Kuna mpuuzi mmoja sasa ni wiki katoka kulewa zake Mbezi Beach Tangi Bovu (jirani na kwa Bujibuji Simba Nyamaume) na akawasha gari yake na kuiendesha spidi na kizembe kabisa akaja kugonga moja ya kingo za Daraja muhimu la Bondeni Kawe na ikabakia kiduchu tu gari lake litumbukie mtoni na...
  10. Webabu

    Kuna askari wa Ukraine walivuka mto Dnipro waliko warusi halafu wakacheka kwa upumbavu wao

    Kikosi kidogo cha askari wa Ukraine hivi karibuni kilifanikiwa kuvuka mto Dnipro oblast ya Kherson kutoka upande wa Magharibi na kuingia Mashariki ambako ndiko ziliko ngome za jeshi la Urusi tangu walipoamua kuachia eneo hilo la mashariki ambalo halina umuhimu kwao kiulinzi. Kikosi hicho...
  11. GENTAMYCINE

    Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

    Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua. Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi...
  12. M

    Mbona wanyama hawana daktari bingwa?

    🐘🦓🐅🦏🐎🦘🦒🐫🐇🦨🦜🦚🦃🐓🦩🐈‍⬛ Kati ya wanyama na wanadamu, nani wanaifurahia dunia? 👉 Mbona wanyama hawana hospitali? Mbona wanyama hawana daktari bingwa? Mbona wanyama hawana Icu? Mbona wanyama hawana chumba cha upasuaji? Wanaopigana kule ukraini na urusi ni nyani na tumbili? Watoto na wazee...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
  14. Boss la DP World

    Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  15. GENTAMYCINE

    Kufananisha Utaratibu wa Majeshi ya nchi zingine na wa Tanzania ni Upumbavu usiovumilika

    Sasa kama mnalisifia na mnalipenda Jeshi la Marekani kwa Utaratibu wake wa hasa Uniforms (Sare ) zao na Uvaaji wa Raia wa hizo Sare zao na Uzuri wa nchi yoo kwanini hasa hamhamii huko mkaishi na badala yake Sote tu tuko hapa hapa Dar es Salaam Tanzania tunasaka zetu Nyoka tu ili Kupambana na...
  16. Mpasuaji wa Manesi

    Mwanaume, unachopaswa kufanya ukiwa kwenye Mgogoro wa ulezi wa Watoto na Mwanamke

    Mwanaume, NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda. Mkienda Mahakamani, utashindwa. Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa. Ukienda Ustawi wa...
  17. S

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
  18. Wadiz

    Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

    Wasalaam JF, Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
  19. Teko Modise

    Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani. Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
Back
Top Bottom