wenye akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 6 Pack

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote. Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo...
  2. R

    Kwanini Serikalini watu wenye akili za kulisaidia Taifa hawadumu?

    Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili kubwa. Jambo la pili wenye akili kubwa siku zote wanataka kufika mbali na ili wafike mbali lazima...
  3. Chizi Maarifa

    Sisi Team Samia wenye akili tunaonekana hatufai

    Huyu anaongea maneno haya unaweza shangaa naye ana mtoto au watoto. unaweza shangaa ana mke. na unaweza shangaa kabisa anaonekana anafaa baada ya kuongea hii kauli. hawa ndiyo aina ya watu ambao wamebaki kwenye hili Taifa. ni wengi sana kuliko wa aina nyingine. sisi ambao tunatumia akili kwa...
  4. DR HAYA LAND

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  5. GENTAMYCINE

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

    Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini...
  6. GENTAMYCINE

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  7. Chizi Maarifa

    Kwa jambo hili niliwaunga Mkono TCRA . Nchi hii wenye akili ni wachache sana

    Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme. Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
  8. THE BIG SHOW

    CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

    Friends and our enemies, 'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics). 'How you do anything,is how you do everything'...(Dante...
  9. C

    Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  10. Nsanzagee

    Huyu shekhe vipi, sisi waisilamu turudishe kadi za chadema halafu tuunge mkono kunakokimbiwa na wenye akili wote?

    Ni kuchanganyikiwaaa au vipi Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini, Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
  11. T

    List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

    Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa. Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana...
  12. Mto Songwe

    Je, ni sahihi kuruhusu wajinga wengi kuchagua viongozi au wachache wenye akili kufanya hivyo?

    Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ? Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi? Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu siasa na maendeleo kuchagulia watu uongozi makini wa nchi? Demokrasia ya wengi wape hata kama ni...
  13. GENTAMYCINE

    Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

    Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao. Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania...
  14. J

    Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

    Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye...
  15. GENTAMYCINE

    Na Marais wengine jitahidini Mkistaafu mkumbukwe Vyema na wenye Akili Kubwa duniani kama huyu....

    A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive. Chanzo: The EastAfrican Online Newspaper Na hata tu Chuo Kikuu cha Makerere alichosoma Hayati Kibaki alisifika kwa kuwa Genius na Bingwa ( Mngwena ) wa Somo la Hesabu na Uchumi ila...
  16. A

    Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko

    Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa...
  17. DR HAYA LAND

    Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  18. MamaSamia2025

    Nyuzi za wafuatao zinaashiria ni watu wenye akili nyingi wanaojua mambo mengi. Nyuzi zao sio za kupita bila kuzisoma

    Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi. Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi...
  19. Zanzibar-ASP

    Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

    Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania. Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda? Hivi CCM...
Back
Top Bottom