Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
687
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.

"Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao"

"Kama nchi imeuzwa wewe umeuzwa shilingi ngapi? kabla ya bei yangu mimi maana mimi jamani wana mbeya wananithamini sana kwa hiyo mimi ni mtu wa thamani kwa hiyo bei yangu itqkuwa juu kidogo si ndiyo jamani sasa wewe wa kawaida bei yako shingili ngapi jibu huna?

unasema bandari imeuzwa haya sawa nimekubali swali shilingi ngapi ili nijue Mbeya mjini mgao utakuwa kiasi gani si wewe unaijua bei sasa kama bei hujui wewe sio sehemu ya sheria mimi nimesoma kama kuna vibao vinasema elimu mwisho hapa mimi sikuishia hapo nilieda mbali zaidi mimi sio tu mwanasheria msomi ahh, mimi ni mtafiti nilikuwa nafundisha sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam, ule mkataba msiwe na wasiwasi mimi mbunge wenu kama mwakilishi wenu nasema hivi tuko salama, Mbeya mjini tuko salama, tanzania tuko salama, na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yeye yuko salama usimsikilize mtu.

Mtu mpumbavu wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao.

Source: Haroub TV.
 
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.

"wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao"

"Kama nchi imeuzwa wewe umeuzwa shilingi ngapi? kabla ya bei yangu mimi maana mimi jamani wana mbeya wananithamini sana kwa hiyo mimi ni mtu wa thamani kwa hiyo bei yangu itqkuwa juu kidogo si ndiyo jamani sasa wewe wa kawaida bei yako shingili ngapi jibu huna?

unasema bandari imeuzwa haya sawa nimekubali swali shilingi ngapi ili nijue mbeya mjini mgao utakuwa kiasi gani si wewe unaijua bei sasa kama bei hujui wewe sio sehemu ya

sheria mimi nimesoma kama kuna vibao vinasema elimu mwisho hapa mimi sikuishia hapo nilieda mbali zaidi mimi sio tu mwanasheria msomi ahh, mimi ni mtafiti nilikuwa nafundisha sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam, ule mkataba msiwe na wasiwasi mimi mbunge wenu kama mwakilishi wenu nasema hivi tuko salama, Mbeya mjini tuko salama, tanzania tuko salama, na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yeye yuko salama usimsikilize mtu.

Mtu mpumbavu wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao

Source: Haroub TV.
kitu ninachoshindwa kuelewa ni kwamba, wanashindwa kujibu hoja hata moja. wanafeli wapi? na Butiku alivyoongea inaonyesha kama mkataba ulishasainiwa mwaka mmoja uliopita, july 2022 sasa ulipelekwa bungeni kwa ajili tu ya kukamilisha wajibu ila ulishasainiwaga kitambo.
 
Watanganyika wenye mapenzi mema na nchi yao ni vyema wakampuuza mtu huyu anayeitwa Tulia Ackson, kwa sababu anaonekana hajatulia kichwani
 
Uzuri wa Tanzania, hata yeye pamoja na kuwa Spika wa Bunge bado hajui nani ni mamaster kwenye hii dili zaidi zaidi ameambiwa tu 2025 tutakisaidia upate ubunge pambania hili.

Watu wa Mbeya 2025 bila shaka hamtaniangusha, piga chini huyu kokote atakakokwenda kugombea.

Hajajibu hoja zaidi ya kuleta siasa tu
 
Mbona Wazee ni Wengi tu wanaopinga. Warioba, Makinda, Shivji, Butiku ni Wazee pia.

Haka kaCD kana dharau sana.......!!
Nadhani kuna shida hakuna mtu.anapinga Dp World. kuwekeza .Kinachopingwa ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye mkataba

Watu waache kuongea sababu wazeeeka? Kwani wazee hawana haki ya kuongea kuwa mtu akizeeka afunge mdomo?
 
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake.

"wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao"

"Kama nchi imeuzwa wewe umeuzwa shilingi ngapi? kabla ya bei yangu mimi maana mimi jamani wana mbeya wananithamini sana kwa hiyo mimi ni mtu wa thamani kwa hiyo bei yangu itqkuwa juu kidogo si ndiyo jamani sasa wewe wa kawaida bei yako shingili ngapi jibu huna?

unasema bandari imeuzwa haya sawa nimekubali swali shilingi ngapi ili nijue mbeya mjini mgao utakuwa kiasi gani si wewe unaijua bei sasa kama bei hujui wewe sio sehemu ya

sheria mimi nimesoma kama kuna vibao vinasema elimu mwisho hapa mimi sikuishia hapo nilieda mbali zaidi mimi sio tu mwanasheria msomi ahh, mimi ni mtafiti nilikuwa nafundisha sheria chuo kikuu cha Dar es Salaam, ule mkataba msiwe na wasiwasi mimi mbunge wenu kama mwakilishi wenu nasema hivi tuko salama, Mbeya mjini tuko salama, tanzania tuko salama, na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan yeye yuko salama usimsikilize mtu.

Mtu mpumbavu wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka na wakiwa na hekima na hata wapumbavu huzeeka na upumbavu wao

Source: Haroub TV.
Tatizo watz wapo kwenye malumbano wasioyajua ukweli na uhalisia!!

Huo mkataba uko wapi!?

Unasemaje!!?

Maslahi yakoje!?

Nani ameusoma huo mkataba au makubaliano hayo!!!?

Nani!!?

Kipi ni SAHIHI kubishaniwa!!?

Nani mkweli!?

Mkataba wa serikali ni siri sio kila mtu anausoma sio!sasa kwanini tubishane tusichojua!?

Maswali ni mengi kuliko MAJIBU!!
 
kitu ninachoshindwa kuelewa ni kwamba, wanashindwa kujibu hoja hata moja. wanafeli wapi? na Butiku alivyoongea inaonyesha kama mkataba ulishasainiwa mwaka mmoja uliopita, july 2022 sasa ulipelekwa bungeni kwa ajili tu ya kukamilisha wajibu ila ulishasainiwaga kitambo.
 
Attachments

  • MX-M264N_20230713_161910.pdf
    271.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom