Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT
Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya.
Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana.
Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote.
Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k...
MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho
Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO
Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.
Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience...
Kuna kipindi kinafika mtu unaamua kuhamia dini nyingine hasa kwa sababu dini uliyonayo ulichaguliwa na wazazi / walezi / mazingira tangu ukiwa mtoto usiejitambua wala kupevuka kiakili.
Kwa wakristo wala hakuna taabu, utahamia dhehebu lengine la kikristo ama uislam, wala hakuna adhabu yoyote na...
Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee.
Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
Yaani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wasio na dini na kuna wahuni, lakini jambo akifanya Muarabu basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna Muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya...
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi...
Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio.
Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu.
Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani,
Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia,
Walitupora majina yetu.
Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala...
Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje?
Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje?
Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo??
Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa...
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Huku mtaani naona vijana wanaitana sheikh, mufti, maalimu, na wengine wainaitana akii, je haya ni majina ya waislamu au ni vyeo?
Utaratibu wa vyeu ukoje huko.
Wasalaam JF,
Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
Kwa hakika hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo zilizotolewa katika suala la mkataba danganyifu wa bandari ni hoja binafsi ambazo hazina mashiko katika suala la uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Pia Uzanzibari, Utanganyika ni hoja binafsi, tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop kama...
Asalam.
Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani
Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao.
Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao.
Mitazamo hii inaathiri mambo...
Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.
Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula...
Unabii huu unaupata kwenye kitabu Cha UFUNUO 9.
1 Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
2 Akalifungua shimo la kuzimu; moshi ukapanda kutoka mle shimoni kama moshi wa tanuru kubwa; jua na anga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.