pesa

  1. Mhafidhina07

    Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika.

    Maisha wanayoyataka Taasisi za kidunia ni aina ya maisha ya utumwa ambapo wanaforce kila jambo liwe fursa na kwa sababu hii ndiyo ugumu wa maisha unazidi kuongezeka. Imagine zamani mtu anatoka home saa 12 asubuhi halafi anarudi 5 kutoka shamba, anapata muda na familia yake, muda wa kupata...
  2. U

    Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

    Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida. Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

    A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria. he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
  4. matunduizi

    Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  5. Equation x

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi. kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani. Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza. Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato...
  6. Mawawa

    Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

    Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀
  7. EP cosmetics

    Tuwe makini na matapeli wa "ile pesa tuma kwenye hii namba". Ni kama vile wanapata taarifa tunapofanya miamala

    Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text. Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
  8. U

    Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  9. Frank Wanjiru

    Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

    Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:- "Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu...
  10. M

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
  11. R

    Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
  12. Mjanja M1

    Kwa haraka hapa napata pesa kiasi gani?

    Wataalamu hapa kuna bei gani wakuu?
  13. Lycaon pictus

    Hivi ndiyo kusema mgodi wa Mwadui umetoa pesa kiasi hiki!?

    Wakati wa kutekeleza Azimio la Arusha serikali ilichukua hisa asilimia 50 za mgodi wa Mwadui. Sasa ikaonekana wafanyakazi wa serikali mgodini pale wanalipwa pesa nyingi sana na Nyerere alitaka kuweka usawa katika kipato cha watanzania. Basi wakataka kuwashushia mshahara na wakapanga wapate...
  14. Replica

    Pesa huhamisha milima, triple 7 yafikia tamati viunga vya Kawe Avocado

    Kijiwe cha mgahawa, mahanjumati kikisindikizwa na bar yenye kila aina ya mvinyo kwa wakazi wa Kawe, Mikocheni na maeneo ya jirani kimeshushwa rasmi baada ya jana tingatinga kukigeuza njia yake. Mgahawa na baa ya tripple 7 umekuwepo tangu enzi mjini Dar ikilishinda soko kwa pande hizo...
  15. mjandwasafi

    KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya pesa za kujikimu (boom) kwa wanachuo

    Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) ambayo ni sehemu ya boom. Kitu kinachotushangaza na kutusikitisha...
  16. Jeep wrangler

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  17. voicer

    Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

    Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa, Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake. Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua Tanzania pamoja na vivutio vyake. Bali Royal Tour ilitumika na kundi la wajanja ndani na nje ya nchi...
  18. Mhafidhina07

    Wadau hivi kuna uwezekano wa busara na pesa kuwa katika chombo kimoja?

    Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii? Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana...
  19. Danielmwasi

    Yanga fans msipoteze muda na pesa kuangalia match ya sundowns. You will be disappointed

    with how guede and gamondi plans works. don't waste you hard earn money kwa hii game. 1. GAMONDI WILL DISAPPOINT YOU. amini atakuja na plan mbovu . unbelievable plans. with guede up front mtashangaa.. he will lose the game. pathetic of a manager. no tactics. brainless guede mind guy if we are...
Back
Top Bottom