kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. princeNathan

    Kuhusi nafasi za kujitolea

    Napenda kuwasilisha kama inavyojieleza je BOT taasisi huwaga haitoi nafasi kwa vijana wa kujitolea au ??? Wenye ujuzi wa hili msaada
  2. Heparin

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  3. athumani mfaume jr

    Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  4. Motag

    Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
  5. NYS

    Nafasi za kujitolea NYS Tanzania

    NYS TANZANIA inapenda kuta taatifa ya nafasi za kazi za kujitolea maka ifuatavyo Mwisho wa kutuma maombi ni jumatano tarehe 13/3/2024 SAA 6 usiku.!!
  6. wa log

    Mwalimu wa kujitolea CHEMISTRY and BIOLOGY

    Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022) Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea. Napatikana mkoani Mbeya.
  7. B

    Natafutafuta kituo cha kujitolea nimesoma kozi ya Clinical Medicine

    Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana nipo mkoa wa mwanza, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (utabibu) katika ngazi ya certificate (tabibu msaidizi)/ clinical Assistant, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe...
  8. L

    Moyo wa kujitolea wa madaktari wa China wathaminiwa na wagonjwa waliotibiwa na kupona wa Tanzania

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania iliishukuru serikali ya China kwa kutuma timu za madaktari wa kwenda kusaidia kutoa huduma za afya kwa watu wa nchi hiyo. Imekuwa ni desturi ya serikali ya China kutuma timu za madaktari katika nchi za Afrika kila baada ya miaka miwili. Kupitia ushirikiano huu...
  9. X_INTELLIGENCE

    Ushauri kwa mliopo JKT wa kujitolea (WAZALENDO)

    Ndugu zangu kwanza niwapongeze sana kwa moyo wenu wa pekee wa kutamani kwa dhati kabisa kuitumikia nchi yetu richa ya JESHI LA KUJENGA TAIFA kujidhatiti dhahiri kuwa awatoi Ajira😭😭😭 Kitendo cha JKT kutoa Rai kuwa awatoi Ajira huo ni kama mchujo wa kwanza tunaita🤣🤣🤣🤣 kwa ambae hatolizika maana...
  10. GENTAMYCINE

    Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?

    Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali? Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
  11. Miss Zomboko

    Siku ya Kujitolea Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Kujitolea (IVD) huadhimishwa kila mwaka mnamo Desemba 5. Ni siku iliyoteuliwa na Umoja wa Mataifa kusherehekea na kutambua michango ya wafanyakazi wa kujitolea duniani kote. Siku hiyo inatoa fursa ya kuongeza ufahamu kuhusu umuhimu wa kujitolea na kuwaheshimu watu binafsi...
  12. MamaSamia2025

    Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  13. Bounty hunter

    Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

    Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza. Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
  14. Sufian Jr

    Ajira ya kujitolea dawasa

    Wakuu Habari, Zenu nilibahatika kuhitimu course ya water supply and sanitation engineering pale chuo cha maji ubungo kwa ngazi ya NTA 4. Changamoto ambayo nakutana nayo katika hivi vituo vya dawasa Ata nafasi ya kupatia uzoefu nakosa namaanisha kujitolea ngumu ila wapo form 4 leavers dawasa...
  15. U

    Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  16. D

    Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  17. Tommy 911

    Kujitolea wakati wa likizo kada ya chemistry

    Habarini Wana JF Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. Hivyo nahitaji kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. Mwenye connection kiwanda chochote au mwenye kujua taratibu za kupata nafasi naomba Msaada. @everyone
  18. tpaul

    Hasara za walimu na waganga wa kujitolea ni kubwa kuliko faida

    Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo: Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
  19. L

    Rais Samia amejitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuleta Tabasamu na Matumaini katika mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na...
  20. M

    Wabunge wanaoshauri vijana wajitolee ili wapewe kipaumbele kwenye ajira, onyesheni mfano wa ninyi kujitolea kwanza!

    Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
Back
Top Bottom