al ahly

Al Ahly Sporting Club (Arabic: النادي الأهلي للرياضة البدنية‎, literal translation: The National Club), commonly referred to as Al Ahly, is an Egyptian professional sports club based in Cairo. Al Ahly is the most successful team in Africa and is one of the continent's giants. Its professional football team plays in the Egyptian Premier League, the top tier in the Egyptian football league system, and is the most decorated football club in the world. The club was founded on 24 April 1907, as a gathering place for Cairo's Student Unions.
Al Ahly has a record of 42 national league titles, 37 national cup titles, and 11 national super cup titles, making them the most decorated club in Egypt. In addition, Al Ahly has never been relegated to the Egyptian Second Division.
In international competitions, the club has won a record 10 CAF Champions League titles, a CAF Confederation Cup, a record seven CAF Super Cups, a record four African Cup Winners' Cups, an Afro-Asian Club Championship, an Arab Club Champions Cup, an Arab Cup Winners' Cup, a record two Arab Super Cups, and has won two bronze medals in the FIFA Club World Cup. With 22 African titles, Al Ahly is the most successful football club in African history, and was voted by CAF as African club of the 20th century Al Ahly is the second most successful club in the world in terms of the number of International trophies won with 23 trophies behind Real Madrid.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

    Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza. Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na...
  2. K

    TP Mazembe Yakalishwa 3 - 0 , Al ahly Yatinga Fainali

    TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika. Katika mchezo Wa mkondo Wa Kwanza Timu hizo zilitoshana nguvu Kwa Kutoka Suluhu na hivyo kudhihirika kuwa Al ahly ndio...
  3. G

    FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito. Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
  4. mdukuzi

    Kocha wa Al ahly asema anamtaka Kibu Denis kuziba nafasi ya Percy Tau

    Sio maneno yangu bali ya kocha wa Al ahly,msikilize hapa
  5. baba aura

    CAF quater final; simba vs al ahly &mamelody sundown vs yanga

    Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na hongera kwa atakaye fuzu
  6. uran

    Al Ahly Vs Simba SC | CAF CL | Quarter Final 2nd Leg | Cairo Intl Stadium| 05.04.2024

    Match Day. Al Ahly Vs Simba ⏱️ Time 23:00hours (EAT) 🏆 CAF Champion League 2nd leg 🏟️Cairo International Stadium
  7. Suley2019

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Mnyama Simba SC Ijumaa ya leo atakuwa dimba la Cairo International akicheza mechi ya marudiano ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Katika mchezo wa kwanza Simba ilifungwa goli 1-0. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 5:00 usiku. Je, Simba watapindua meza? --- Kikosi cha...
  8. Swahili_Patriot

    Utajiri wa mechi ya simba v Al ahly leo kwa kizimkazi.

    Mimi yanga damu, sema kwa leo ninaweka taifa langu mbele. Ninatabiri simba atashinda kwa kuongoza kwa bao 2, Yaani 3:1. Kila la kheri WATANZANIA leo. Mimi kauli mbiu yangu, ikipigwa nimeshinda, ikishinda nimeshinda. Kila la kheri Tanzania
  9. Wadiz

    Maoni: Mbinu ya Ushindi kwa Simba SC Leo 29.03.2024 dhidi ya Al Ahly

    Shalom, Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo. 1. Umakini kwa dakika zote 2. Kucheza kwa speed dakika zote 3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly. 4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote. 5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
  10. Suley2019

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Maandalizi ya timu zote mbili yameenda vyema, kinachosubiriwa ni mchezo rasmi leo...
  11. Carasco Putin

    Shabiki la Mamelod Sundowns damu

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Mamelod anaua utopolo vizuri tu. Na kama utopolo atachomoka , mimi carrasco masandawane bin Bala bana BANTA natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, utopolo ameyakanyaga, utopolo ameyatimba.
  12. 1

    Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe mvua, mwarabu ameyakanyaga, mwarabu ameyatimba.
  13. A

    CAIRO: Kocha wa Al Ahly aambiwa asipoifunga Simba goli 3 kwa Mkapa ajira yake itakuwa matatani

    Wakuu wasalaaaamu! Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'. Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al...
  14. Newbies

    UTABIRI: Simba kutoka sare ya 1-1 na Al Ahly

    Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆
  15. Carasco Putin

    CAF CHAMPIONS LEAGUE: SIMBA VS AL AHLY

    Caf champions league imerejea , Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs al ahly Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Al AHLY wataendelea kuchezea kichapo kwa mkapa Mechi itapigwa majira ya saa 3:00 usiku katika uwanja wa Benjamin...
  16. Pdidy

    Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

    Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea Mechi ya SIMBA vs Al AHLY SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu. Pona ya SIMBA kudrw ni Red card.... Yanga vs mamelody Ft so far naiona drw dk 90 Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw Marudio kutakuwa...
  17. Teko Modise

    Al Ahly wana mikwara kama kawaida yao

    Pamoja na hii mikwara yao utashangaa anakufa 3-0 siku ya Ijumaa pale Lupaso. Nimependa mikwara yao japo mtu mzima hatishiwi nyau.
  18. SAYVILLE

    Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

    Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
  19. 1

    Simba na Yanga acheni kuwadanganya watu, Al Ahly na Mamelodi sio Manyema FC

    Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini. Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea...
Back
Top Bottom