wito

Parque Luis A. "Wito" Morales (Luis A. "Wito" Morales Park) is a park in the municipality of Ponce, Puerto Rico. It is part of the Lake Cerrillos Dam recreational area.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Wadau wa Uongezaji Thamani Madini Waitikia Wito wa Serikali Kuwekeza Kwenye Viwanda vya Uchenjuaji Madini Nchini

    WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI -Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE -_Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma,Dodoma,Katavi na Lindi _ -Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri...
  2. Pascal Mayalla

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Wanabodi, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
  3. Msanii

    Udaktari siyo wito. Tueleweshane hapa.....

    Tusipoiambia serikali ukweli tutaangamia bila maarifa. Tunaambiwa kwamba udaktari ni wito hivyo madaktari wawe kwenye moody hiyo. Lakini hao wanaoambiwa wafanye kazi kwa mode ya wito wanakamuliwa na serikali inayopaswa kuwaatamiza na kuwalinda ili wahudumie wito wao. Angalia/soma hii...
  4. Mhaya

    Wito wa kuacha kuhudhuria Show zote za Harmonize

    Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako. Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka. Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya...
  5. DR Mambo Jambo

    Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  6. Pascal Mayalla

    Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
  7. J

    Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  8. R

    Natoa wito kwa Watanzania kumuunga mkono Prof. Jay katika kampeni ya kumpata fedha za kuhudumia wagonjwa wa figo

    Nitoe pole kwa Prof. Jay kwa machungu aliyopitia kipindi chote cha ugonjwa. Ninashukuru mwenyenzi Mungu kwa kuzidi kumpa nguvu na afya yakumtumikia. Nimpongeze pia Prof. Jay kwa kuona upo umuhimu wa kuwa na foundation itakayosupport wagonjwa wa figo. Hii ni vision nzuri na nia njema kwetu ambao...
  9. Mama Amon

    Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  10. S

    Wito kwa Serikali: Ikiwa hazina ya nishati ya mafuta ipo basi haraka yachimbwe

    Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena. Serikali kama inavyofukua madini basi sasa wakati umefika wa kuivuta juu hazina ya mafuta, na kwa vile kiwanda cha...
  11. MamaSamia2025

    Wananchi wanaotaka kuanza mazoezi wajue kupunguza mwili na kuondoa kitambi/tumbo ni vitu viwili tofauti. Six packs ni kwa wito maalum.

    Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
  12. JanguKamaJangu

    BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe. Mwanasheria wa...
  13. JanguKamaJangu

    Rais wa Misri atoa wito hatua kuchukuliwa ili kupunguza Uzazi Nchini kwake, ni kutokana na idadi ya watu kuongezeka

    Egypt President Calls For Measures To Slow Birthrate Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi called Tuesday for measures to slow the birthrate in the Arab world's most populous country, citing China's one-child policy as an example. "We need 400,000 births per year," said the leader of the...
  14. FRANCIS DA DON

    Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

    Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake. Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
  15. Pascal Mayalla

    Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

    Wanabodi, Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana! Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini. Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
  16. JanguKamaJangu

    Martha Karua atoa wito wa kulipwa fidia kwa Waathiriwa wa Bomu lililolipua Ubalozi wa Marekani Mwaka 1998

    Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio lililotokea Agosti 7,1998 Jijini Nairobi. Ameyasema hayo katika maadhimisha ya miaka 25 tangu kutokea kwa...
  17. Mzalendo Uchwara

    Wito kwa EAC, tuharakishe sarafu ya pamoja, dunia itatuacha

    Sarafu ya pamoja itatupa nguvu ya kuingia makubaliano ya kutumia sarafu yetu kwenye biashara za kimataifa badala ya dola ya Marekani. Hususnani baina yetu wenyewe na pamoja na mataifa tunayofanya nayo biashara kwa wingi kama vile Afrika Kusini, India na China. Kama inashindikana kuelewana na...
  18. M

    Dkt Slaa atoa wito kwa Viongozi wa dini zote na madhehebu yote na wananchi wote kwa ujumla kuhudhuria mkutano mkubwa wa kujadili hatma ya bandari zetu

    WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
  19. Roving Journalist

    Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
Back
Top Bottom