uwanja wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tulimumu

    Uwanja wa Taifa ni mchafu sana

    Sisi wapenzi wa mpira tunapoenda kuangalia mpira Uwanja wowote ule kwa malipo maana yake sisi ni wateja inabidi tuheshimiwe kama wafalme kama kauli mbiu inavyosema kuwa mteja ni mfalme. Nikizungumzia uwanja wa Taifa wa Mkapa ambao ndio uwanja mkubwa na bora kuliko vyote nchini kwakweli huduma...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao. Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
  3. Andre-Pierre

    Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

    Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
  4. Dr. Zaganza

    Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  5. Robert S Gulenga

    Tunashukuru Mungu hawajaumia na kupoteza Maisha watu wengi Uwanja wa Taifa leo kwenye mechi ya Yanga. TFF wawajibike kwa uzembe mkubwa

    Mpaka sasa Waziri mwenye dhamana na Afya za Watanzania amethibitisha kifo cha mtu mmoja na baadhi ya watu kujeruhiwa. Tunamshukuru Mungu japo kwa uchache huo. Vyovyote itakvyoelezwa Wahusika wawajibike, kwa namna hamasa ilivyokuwa na watu kuingia bure, ilitakiwa mageti ya kuingilia uwanjani...
  6. Roving Journalist

    Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  7. Teko Modise

    Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani. Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
  8. Tindo

    CCM acheni siasa za kiki, uwanja wa Taifa umeme umekatika wamefukuzwa vidagaa

    Kama sio kusaka kiki za bei rahisi ni nini? Kuchukulia hatua vidagaa wa taa uwanja wa taifa ni kama mmetuona watanzania ni wajinga, mbona kuna mgao wa umeme nchi nzima na hakuna hatua zozote wanachukuliwa hao majizi wanaosimamia nishati? Kabla ya mvua kisingizio cha kukatika umeme ilikuwa ni...
  9. benzemah

    KAIMU MENEJA UWANJA WA TAIFA NA WENGINE SITA WASIMAMISHWA KUTOKANA KUKATIKA KWA UMEME WAKATI WA MECHI YA YANGA Vs RIVERS

    Kutokana na kujirudia kwa hali ya kukatika umeme katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ( Uwanja wa Taifa DSM) ikianza 28 Machi, 2023wakati wa mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya...
  10. Ex Spy

    Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  11. NALIA NGWENA

    Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  12. L

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  13. benzemah

    Kwa Simba na Yanga, Mayele ni "mfalme" uwanja wa taifa kwa Mkapa

    Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja. Baada ya kukosa tuzo ya ufungaji boramsimu uliopita iliyokwenda kwa George Mpole (Geita) kutamba na kumaliza msimu aki wa...
  14. ankol

    Matukio ya Derby: Kuruka ukuta uwanja wa Taifa

    Leo kuelekea derby ya simba na yanga, wazee wenzangu tukumbushane matukio ya uwanja wa taifa kipindi hicho cha 90's. Nakumbuka miaka ile pesa ilikuwa ngumu kweli kweli na mapenzi ya kutazama kabumbu yalikuwa ya hali ya juu. Basi tulikuwa tuna njia mbalimbali za kuingia uwanjani. Hapa ni ubabe...
  15. Mwl Athumani Ramadhani

    Teknolojia ya usindikaji kinyesi cha wanyama (Biogas)na ukatikaji wa umeme uwanja wa taifa!

    Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
  16. Nyendo

    Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

    Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike. ==== Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili...
  17. peno hasegawa

    Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  18. B

    Ipo siku tutaandaa mechi siku za sikukuu ya Christmas au Idd el Fitr Uwanja wa Taifa

    TUJIULIZE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZINAFAHAMU UNYETI UNAOENDA NA WATU WENYE IMANI KATIKA DINI Shirikisho la cha Mpira Tanzania TFF kuamua kuendelea na ratiba zake bila kujali imani za wachezaji wake kuadhimisha imani zao katika katika siku muhimu kiimani ni bahati mbaya au ni muelekeo wa kudumaza...
Back
Top Bottom