hoja

  1. Gwappo Mwakatobe

    Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

    Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM? Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM? Kwani kuna jipya lipi...
  2. Mhafidhina07

    Makonda ana hoja asikilizwe

    Katiba ya Tanzania inatamka na kutambua kuwa Rais ndiye mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu na mtendaji mkuu wa Serikali yeye ni mwenye mamlaka makubwa katika nchi hii anaweza kuwa symbolic leader(queen) kulingana na katiba yetu. Inasikitisha sana kuona mtu wa kwenye chama chako ambaye pia...
  3. Msanii

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  4. sonofobia

    CHADEMA tafuteni hoja, bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida duniani kote

    Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere. Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani. Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya...
  5. M

    Wanaosema lile ni goli na wanaosema sio goli wote wana hoja, matusi ya nini?

    Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati. Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
  6. K

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu na Tsh. 10,000 kukatwa kwa Wabunge, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ili fedha hizo ziwe chanzo cha...
  7. Gulio Tanzania

    Misemo iliyoanza kutrend hapa JF na kuwafikia watanzania wote

    1. Single mother Watanzania wengi walikuwa hawajui single mother ni nani 2. Wanaume wa dar 3. Mizagumuo 4. Kataa ndoa 5...
  8. Lamzettttt

    Wana hoja, wasikilizwe

  9. Mfugaji123

    Najibu hoja za wadau kuhusu biashara ya kunenepesha ng'ombe Tanzania

    Baada ya kuandika article kuhusiana na biashara ya kunenepesha ng’ombe nimepata maswali mengi kuhusiana na biashara hii. Wengi wanahoji inafanyikaje, ukubwa wa mtaji, vihatarishi vyake, unaweza kukosa wateja na wengine mtu anaweza kuanza akiwa na mtaji kiasi gani?. Sasa biashara yoyote kitu...
  10. technically

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa unazomhonga anampatia. Yule Mkeo uliyemuoa kwa upendo yupo zake hotel anampa tendo Mwanaume wa hisia...
  11. DR Mambo Jambo

    Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  12. tpaul

    Dr Nkwasi: CCM hawana jipya, wanatafuta kiki kwa kutumia umbumbumbu wa wananchi

    Siku hizi wanasiasa na chawa wa CCM wakipanda majukwaani wanatumia muda mwingi sana kumsifia Rais Samia hata kwa mambo yasiyokuwepo hadi wanatia kichefuchefu. Utasikia "Rais katoa pesa kujenga bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, kajenga SGR na mirai mingi sana na anawalipa wafanyakazi mishahara"...
  13. D

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
  14. Swahili AI

    Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni. Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
  15. CCM MKAMBARANI

    CCM imefanikiwa kuwashinda wapinzani kwa hoja mtandaoni

    Hello JF Members. Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani. Chama tawala tulikuwa na kashfa nyingi...
  16. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  17. comte

    Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  18. comte

    CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  19. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
Back
Top Bottom