Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho ndani yake kina risasi na baadaye kufyatuliwa.
Anayeelezea video hiyo anadai pen hizo zinagawiwa...
MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake...
#LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL
Jumanne April 16, 2024
Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran
Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran
Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama hawataacha.
Akizungumza wakati wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?
Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha.
Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa.
Kuna...
Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp.
Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
ISTANBUL, April 1 (Reuters) - Newly re-elected Istanbul Mayor Ekrem Imamoglu has emerged as the main challenger to Turkish President Tayyip Erdogan's reign. But in some ways, he is following in the footsteps of the Turkish leader who ran the city in the 1990s.
Aside from having led the country's...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko (pichani kulia) amesema Watu wawili akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti Mwanafunzi wa awali katika Shule ya Mount Moriah na kumuharibu sehemu zake za siri ambapo taratibu za kisheria zikikamilika...
Familia yaomba Serikali kuwasaidia kupata haki ya mtoto wao ambae wanadai amelawitiwa shuleni. Wazazi wadai Serikali ya Mtaa na kituo cha polisi hakiwapi ushirikiano.
Wakifafanua sakata hilo Wazazi wanadai kuwa walipata mashaka baada ya kuona mtoto wao wa miaka 6 anajinyea mara kwa mara na...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=6yQwHaO3rEA
MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA...
Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele, mtu husikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine anazisikia zaidi ya mhusika mwenyewe.
Je unasumbuliwa sana na tatizo la Masikio kupiga kelele? haupo...
Haita tokea katika bara la Afrika Kiongozi aliye kaa Madarakani kwa muda wa miaka 5 na kuweza kuleta maendeleo kama hayo. Mungu amsamehe makosa yake ameweza ,Amedhubutu kwa vitendo kiongozi imara aliyeipenda nchi yake Tumempoteza Shujaa wetu barani Afrika Hayati Rais Doctor Magufuli Mungu...
🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦
Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati.......
Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike......
Mike Tanzania anatokea kinondoni......
Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.