mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Eric

    Nikisikia mwanaume anaoa mwanamke fulani ninaye mjua kitaani kwetu huwa napata huruma kwa mwamba

    Wana jukwaa wa MMU habarini? Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao kuingia kwenye mahusiano imara. Juzi kati hapa kuna Me nimesikia anaoa ke fulani kitaani kwangu. Me...
  2. T

    Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

    wakuu wasaalamu. Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine wilaya nyingine, au wilaya moja lakini mbali mbali! Na kabla hajaoa alimtaarifu Mke wake...
  3. Innovator97

    Mwanaume mpende mke wako

    UMEOA? Jivunie mkeo/mwanamke wako, 'Feel Proud Of Your WIFE' na kamwe usione hatari kumsifu mbele ya Macho yake, usijiulize mara MBILI kusema "NAKUPENDA MKE/MPENZI WANGU MZURI" Tambua, amefanya maamuzi ya kusafiri na wewe kwenye safari ndefu ya maisha; hakuona mwingine huko pembeni ambaye...
  4. de Gunner

    Mwanaume tambua thamani yako

    Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki...
  5. Kambi ya Fisi

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke? Kwa maoni yangu binafsi...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wa kiume lazima muelewe kuwa kuna wanawake wanawazidi kwa mbali kiuwezo iwe wa akili, uchumi na maono

    VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo wanawake wanauwezo zaidi yako. Hilo ukubali au ukatae lakini ndio ukweli huo. Wanaume wengi hujikuta...
  7. Carlos The Jackal

    Wanawake wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuwa Ngono ni Raha ya Mwanaume tu, wao hawapati chochote

    Na hapo ndipo wanaume wengi wamekua watumwa, wafujaji wa Mali na Pesa, wamekua watu wa ovyo ovyo. Ukweli ni Kwamba kwenye Ngono, Kitaalam wanawake hupata Raha sana kuliko hata wanaume. Mwanamke hupata raha kuanzia mwanzo hadi mwisho wa tendo lakini mwanaume hupata raha pekee anapofika...
  8. C

    KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa! Kwenu wataalam...
  9. Msanii

    Je, ni sahihi kwa mwanaume kuhubiri ama kusali akiwa amefunika kichwa chake?

    Ndugu zangu. Hata sasa tumeshuhudia anguko la mwanadamu katika nyakati hizi za Neema ya Mungu ya Wokovu kupitia damu ya Thamani ya Yesu Kristo... Manabii wa uongo walikuwepo tangu nyakati za Torati Yeremia 14 4. Kila mwanamume, asalipo, au anapohutubu, naye amefunikwa kichwa, yuaaibisha kichwa...
  10. miles45

    Mwanaume kabla ya kuoa fanya hivi itakusaidia sana.

    Moja kwa moja kwenye mada Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama. Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi. Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje. Ukibahatika...
  11. P

    Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  12. U

    Mwanaume mwenye 40s aliyefulia vs Mwanamke mwenye 40s asie na mtoto, yupi mwenye stress zaidi?

    Wanasema maisha huanza 40, muda huo kama kuna vitu havijakaa sawa unaweza kuwa desperate - Mwanamke 40s asie na mtoto - Mwanaume 40s ambae kafulia
  13. Zurie

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Hello hello.. I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi) Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati...
  14. Morning_star

    Mwanaume wa ukweli huvaa kwanza nguo halafu ndio anapaka mafuta kwa sehemu zinazoonekana!

    Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?
  15. Mowwo

    Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  16. Wadiz

    Tunayaona Mtaani: Mwanaume Bora kuzeeka ukiwa single kuliko kuteseka uzeeni kwa kuoa mafisi ama tumbili

    Fisi na tumbili hawana huruma nyakati za mavuno. Mwanaume ukiamua kukataa kuoa uwe na msimamo. Usije ukajichanganya uzeeni ama jua la jioni ukatepeta ukataka kuoa hawa wanawake, mabinti, ama wadada aina ya fisi na tumbili. Bora ya chawa kuliko Hawa viumbe wanafanya vituko vya maumivu bila...
  17. N

    Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  18. Suley2019

    SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je video hiyo ni ya mwaka huu?
  19. M

    Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
Back
Top Bottom