sheria

  1. Suley2019

    Waziri Mkuu Majaliwa ataka sheria kali ziundwe kukabiliana na Unyanyasaji wa Kijinsia

    Serikali inatarajia kuweka sheria kali dhidi ya wanaofanya ukatili wa kijinsia kwenye Jamii ili kuondoa na kupungunguza wimbi la ukatili linaloendelea kwenye Jamii. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema hayo leo April 18,2024 wakati wa majibu ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu akijibu...
  2. Lycaon pictus

    Sheria ya mpira wa kurushwa inabidi ibadilishwe

    Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia. Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia. Unakuwa kama wewe tena ndiye...
  3. Makox

    Nilitengenezewa zengwe na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi

    Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI WA MWANAFUNZI MPAKA NIKAFUKUZWA KAZI". Nimeona nisikae tu kimya bila kuwafahamisha...
  4. G-Mdadisi

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar yaongeza kasi ufuatiliaji marekebisho sheria za habari

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010. Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
  5. R

    Mbunge wa Tarime asema wakiteuliwa watu wanaokubalika watashinda kwa asilimia mia moja

    Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema hayo viongozi wa CCM wa kitaifa wameonekana kufurahia kauli hiyo na kumuunga mkono. Katika hali...
  6. Abdul S Naumanga

    Kwanini Hans Poppe na wenzake walitaka kumpindua Mwl. Nyerere? (SEHEMU YA 1️⃣)

    HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
  7. Pascal Mayalla

    Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita...
  8. Makamura

    Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  9. A

    KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  10. K

    Anayejua sheria za ubebaji mimba (surrogacy contract/laws) Tanzania

    Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni...
  11. K

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Mbunge wa #Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Tsh. 2,000 kila Mwezi kwenye laini za simu na Tsh. 10,000 kukatwa kwa Wabunge, Wafanyabiashara na Wafanyakazi ili fedha hizo ziwe chanzo cha...
  12. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  13. kijana wa leo

    Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Leo niliibiwa materials kutoka eneo langu la kazi Mkoa A, baada ya kufatilia nikagundua mwizi amesafiri kwa njia ya Bus kuelekea mkoa B, nikafanya mawasiliano na Police wa mkoa B, wakanipa ushirikiano na kumkamata mwizi wangu akiwa na hayo material kwenye Bus kama nilivo report, na bahati nzuri...
  14. DR Mambo Jambo

    MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

    Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
  15. Abdul S Naumanga

    Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  16. Mjanja M1

    Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  17. R

    Akili ya Zitto Kabwe kuwa sheria za uchaguzi zinakidhi haja ni "Tukose wote"

    Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki. Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
  18. Roving Journalist

    LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
  19. R

    Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
Back
Top Bottom