benjamin mkapa

Benjamin William Mkapa (12 November 1938 – 24 July 2020) was the third president of Tanzania, in office from 1995 to 2005. He was Chairman of the Revolutionary State Political Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).

View More On Wikipedia.org
  1. The Evil Genius

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  2. Vincenzo Jr

    Yanga SC vs Mamelodi sundowns CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 30/03/2024

    𝐌𝐔𝐃𝐀 𝐃𝐀𝐘🔰🙏🏽 𝐒𝐈𝐌𝐔 𝐙𝐈𝐈𝐓𝐄 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈 𝐓𝐔𝐊𝐔𝐓𝐀𝐍𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐀𝐏𝐀👊🏽
  3. Suley2019

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza 10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana 20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
  4. Petro E. Mselewa

    'Masandawana' hawa waweza kusimamishwa kupambana na Yanga Benjamin Mkapa tarehe 30/3/2024

    Wote, hadi sasa, wana kadi tatu za njano. Ni hawa: RISK OF SUSPENSION This table lists all players who are injured, sick and suspended, and those, who are at risk of facing suspension. Compact Detailed Player Age Yellow cards Appearances Cards/Match Ronwen Williams Goalkeeper 32...
  5. The Supreme Conqueror

    Wiki ngumu sana kwa Mamelodi na Al Ahly Kwa kile watakachokutana nacho kwenye dimba la Benjamin Mkapa

    Wiki inayoanza kesho ni wiki ngumu sana Mamelodi na Al Ahly Kwa kile watakachokutana nacho kwenye dimba la Benjamin Mkapa dimba ambalo Yanga SC na Simba SC wamezoea kufanya mabalaa Kwa kila mgeni anaekanyaga kwenye ardhi ya Tanzania. Najivuniaa Simba SC na Yanga SC kwenye miaka ya karibuni...
  6. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad 📆 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  7. Wizara ya Afya Tanzania

    Hospitali ya Benjamin Mkapa yaikosha kamati ya bunge kwa ubora wa huduma

    Na. WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Maswala ya UKIMWI imeipongeza menejimenti na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kwa ubora wa Huduma na kuwatia moyo kwa kuendelea kuwahudumia wananchi . Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya...
  8. M

    Manara: Sherehe ya Harusi itafanyika Benjamin Mkapa Stadium

    Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema, "Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party...
  9. kiwatengu

    FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC 📆 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  10. uran

    Ronaldo anatamani kulia

    Ronaldo anatamani kulia Washapigwa 3 na Al Hilal
  11. uran

    FT: Al Hilal 3 - 1 ES Tunis | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 01.12.2023

    Game on Hapa Taifa. Watanzania tumejitahidi kufika. We Love Football. Tunawashangilia Wasudani --- Matokeo mengine Madeama 2 - 1 Belouizdad
  12. figganigga

    Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

    Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni...
  13. Scars

    FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

    Leo tena Tanzania inabahatika kushuhudia mechi bora yenye viwango vya juu inayopigwa katika dimba la Benjamín Mkapa huku Tp Mazembe akiwa mwenyeji. Hii ni mechi ya tatu ya mashindano haya mapya tangu yazinduliwe Tanzania na Club kubwa Africa Mashariki na kati. Ikumbukwe kuwa Tp Mazembe...
  14. uran

    Simba VS Al Ahly | African Football League| Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023

    Ikawa mchana, Ikawa Usiku na hatimaye yametimia. Leo 20.10.2023 Muda ni Saa 12Jioni kwa saa za Afrika Mashariki pale Benjamin Mkapa Stadium Kitawaka sana. Simba vs Al Ahly. All the Best Mnyama. #nguvumoja#
  15. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  16. GENTAMYCINE

    Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  18. Kingsmann

    Mkapa alipotaka kuuza shirika la ndege, aliitwa na Baraza la Maaskofu kuwekwa sawa

    Tunaendelea kukumbushana tuu kwamba hata hili la bandari siyo udini kama wazushi wanavyozusha. Kipindi cha "Privatization" kilipopamba moto Hayati Rais Mstaafu Mkapa alitaka kubinafsisha shirika la ndege. Baraza la maaskofu TEC lilimuita na likamshauri kutokubinafsisha shirika hilo kwani ni...
  19. BARD AI

    Kupandikiza Uume Hospitali ya Benjamin Mkapa ni Tsh. Milioni 6 hadi 10

    Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24. Dk...
  20. SAYVILLE

    Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
Back
Top Bottom