mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  2. Black Legend

    Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
  3. Erythrocyte

    Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

    Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na hasa kwenye ngazi ya Kanda. Naomba sana Busara itawale ili Chama kisipasuke Angalia mambo haya.
  4. F

    ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  5. matunduizi

    Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  6. Mtemi mpambalioto

    Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

    habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine? Je...
  7. sonofobia

    Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  8. GENTAMYCINE

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile...
  9. Manyanza

    Usichukulie mambo kwa mkazo mkubwa

    Katika maisha yetu yenye shughuli nyingi, mfadhaiko unaweza kuwa msumbufu sana. Lakini ni muhimu kujua kwa nini usiruhusu kuchukua nafasi. Hii ndio sababu: 1. Kukaa na Afya Bora: Msongo wa mawazo unaweza kuharibu mwili wako na kukufanya ujisikie mgonjwa. Kwa hivyo, kupumzika ni kama kujipa...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    Unajiandaaje na magonjwa yanayotokea kwa sababu ya umri kuwa mkubwa?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na janga kubwa sana la magonjwa yasiyoambukiza, hasa inawapata watu ambao umri unaenda. Watu wanahangaika na kisukari, shinikizo la damu, kansa, figo, ini na magonjwa mengine yanayotokea na ulaji mbovu au life style mbovu ya maisha yetu. Nina rafiki yangu...
  11. Dr Matola PhD

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  12. BARD AI

    Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  13. Chizi Maarifa

    Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  14. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  15. BARD AI

    Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  16. GENTAMYCINE

    Huenda Ijumaa ijayo k Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao

    Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
  17. Kaka yake shetani

    Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

    Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe. Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
  18. M

    Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

    Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani. 1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali. 2...
  19. M

    Eee Mola uipe ushindi mkubwa Al Ahly dhidi ya Simba

    Wape ushindi wale wanaokuabudu kwa dhati ya Moyoni. Na wanyime wale wanafanya ushirikina ili washindi. Eee Mola iwapo kuna mwana Simba yeyote atakayeshirikiana na waganga na washirikina basi iadhibu timu yao ifungwe goli 5. Pia nakuomba usiwape ushindi Simba kwa kuwa wamejaa dhihaka na...
  20. Fundi kipara

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
Back
Top Bottom