whatsapp

  1. Mama Edina

    Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

    App ya WhatsApp GB ina raha yake. Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana. Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app mm najua ni njama tu. Ile ilikuwa inaruhusu kuona kama mtu alituma kitu akakifuta wewe unaona na...
  2. Mhaya

    Hakuna mtu anayeweza ku-hack WhatsApp yako

    Kuna taarifa nyingi za uongo mitandaoni, sijui meseji za WhatsApp zitasomwa na watu, sijui nini na nini! Ngoja niwaambie jambo moja. Zuckerberg sio fala, hakuna mtu anayeweza kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine. Hii mitandao ipo imara sana labda uhack, na mara nyingi kuhack hutumika Facebook...
  3. Kang

    Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Tutashare mbinu za kujikwamua na ban humu, kumbuka hii ni cat/ mouse game kwa hiyo sio kila mbinu itafanikiwa kwako. Fanya backup! Baadhi ya hizi njia zitapoteza chat msg/ picha etc so kama ni muhimu kwako fanya backup unvayojua wewe kabla ya kujaribu lolote. Tahadhari na factory reset...
  4. H

    MPYA MABADILIKO MAPYA WHATSAPP

    Je Kuna ukweli wowote kuhusu mabadiliko MAPYA ya muonekano wa whatsapp na faragha ya mtu?
  5. ezekeo

    Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
  6. SAYVILLE

    Kwa hiyo Yanga ndiyo imegoma kufungua WhatsApp Channel?

    Simba ilipozindua WhatsApp channel yake, hadi CEO Imani Kajura akafanya press conference kuhusu uzinduzi huu. Binafsi na wengi wetu tuliona hii siyo issue kubwa kihivyo na tulikwazika pale ilipoorodheshwa kwenye Mkutano Mkuu kama ni moja ya mafanikio ya klabu msimu huu. Pamoja na yote hayo yote...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Tahadhari: Moja ya kiashiria cha utapeli wa Kimtandao ni kuitwa WhatsApp

    Ukikutana na tangazo la nafasi za kazi, tangazo la biashara au tangazo la fursa yoyote ya kifedha na mwishowe unaambiwa njoo Whatsapp hapo kuna harufu ya utapeli kwa 96% -100%. Ni hayo tu. Ogopa neno njoo Whatsapp!
  8. Annie X6

    Naomba kujua kwanini whatsapp GB inaomba udownload official apps? GB inaondolewa?

    Wakuu habarini Nimetumia WhatsApp Gb muda mrefu sasa. Moja ya simu yangu imeomba nitafute official app kwenye playstore. Kabla ya hapo WhatsApp gb nilipatika kwa kudowload through akp kwenye search engine particularly chrome Je, ninkwamba gb whatsapp inatuagaaga au? Wajuzi msaada hapo?
  9. Anonymous77

    Msaada: Artificial Intelligence whatsapp chat bot

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba msaada wa AI CHAT BOT ambayo inafanya kazi WhatsApp. Chat bot ambayo unaweza kuitumia ndani ya WhatsApp kama zile chat bot ambazo ziko kule telegram, kama unajua kuunda chat bot ya AI unavyoweza kuitumia WhatsApp naombeni msaada wenu wenu wakuu ila isiwe ya...
  10. BabaMorgan

    Boss ingia Whatsapp mara moja

    Boss ingia Whatsapp mara moja kuna kitu nimekutumia.
  11. M

    Msaada kwenye Account ya whatsApp business

    Habarini watu wa Mungu,nina tatizo hili kwenye account yangu ya WhatsApp business. Nimejaribu kuwaomba waifungue sioni response yao, msaada tafadhali naombeni.
  12. Lycaon pictus

    Mbona App yangu ya SMS imekuwa kama WhatsApp?

    Habari wakuu. Mbona app ya sms imekuwa kama whatsapp. Hata inaruhusu kuunda niunde group. Imekaaje hii?
  13. Binadamu Mtakatifu

    You need official whatsapp to use this account

    Wakuu mganga ajigangi nimepata hii shida kila nikisajili namba yangu whatsapp au kusajilia namba yangu kisha nibadilishe kwenye hii namba Huu ujumbe nimeteseka sana nao na hapo natumia official whatsapp japo kwenye kimeo changu nimeinstall custom rom ya lineage os Shida ni kwamba namba zote...
  14. Mkushi Mbishi

    Msaada kutumia whatsapp kwenye desktop

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf,poleni na majukumu ya kutwa nzima. naombeni msaada ama maelekezo ni jinsi gani naweza kutumia whatsapp kwenye desktop bila kutumia emulator ya aina yoyote kama hili linawezekana.maana nimejaribu kutumia kwenye bluestacks 5 lakini inacrush kila...
  15. Mhaya

    Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  16. Sa 7 mchana

    Nashindwa kusajili namba ya pili WhatsApp

    Wakuu habari zenu. Ninajambo naomba msaada. Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business. Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote imekuwa nikizaa zaa. namba ya 3 imekuwa banned zaid ya mara 4. Nimejaribu kutumia clone apps/duo apps/...
  17. Doto12

    Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

    Hii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa. Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta. Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi. Kinaacha wengi tunaandika tunafuta, unaandika sentensi unafuta u r wrong. What you have just wrote is right
  18. JanguKamaJangu

    Jadon Sancho aondolewa kwenye Group la WhatsApp la Man United

    Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo kwenye Mtandao wa WhatsApp hali inayoonesha uwezekano wa kurejea kikosini ni jambo gumu Gazeti la...
  19. Mhaya

    Rasmi Whatsapp imeanza kuweka CHANNELS kwenye App yake

    Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow Jinsi ya kupata Update hii mpya hakikisha simu yako inatumia tolea jipya la Whatsapp na kama...
Back
Top Bottom