Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.
Au kanuni zimeshabadilika
AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE
Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!!
Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia 2+ FT KUANZIA KOLI 3+
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha
Wafungaji wa yanga kati ya
Mzize
Mudathir
Aziz.K
Jgwede......
Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa
Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.
Video imeambatanisha.
NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati.
Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki.
Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa.
Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira kugonga nguzo na kudundia ndani na kurudi nje lakini ule mpira ulikwa umeingia ndani 💯% na goli...
Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn
https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554
Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
Kuna uhusiano mkubwa kati ya dhuruma na upole wa kimasikini.
Masikini mtata huwa anapunguza uwezekano wa kuonewa na Matajiri. I
Yanga kama hayati Magufuli ilitakiwa walete taharuki. Wagomee match wazue balaa ambalo litaleta attention ya FIFA na dunia nzima. Wamefanya kosa baya sana kukubali...
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada
Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la!
Pili....Teknolojia sahihi ya kuamua kama mpira umevuka mstari wa goal Inaitwa goal line decision...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.