mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  2. Yesu Anakuja

    Dunia na mambo yake yote yanapita!

    Jaribu kutafakari hapo ulipo, tangu umezaliwa, umepata akili, watu wangapi uliowaona wanapambania maisha ya dunia hii, wako wapo, yale waliyopambania yamewasaidia nini kwa maisha yao huko walikoenda? Wanaweza kuwa wamekula bata, wamelala na wanawake wawatakao au wanaume wawatakao, wamejenga...
  3. D

    Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100 Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi...
  4. Mwande na Mndewa

    Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
  5. G

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
  6. M

    Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe. 4. Mabeki wa Yanga...
  7. L

    China yapinga na kulaani vikali Uingereza kuingilia mambo yake ya ndani

    Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa “Marafiki wa Taiwan” uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo ni ukiukaji wa wazi wa kanuni ya China moja na uingiliaji wa ndani wa mambo ya China, na kwamba...
  8. Chizi Maarifa

    Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

    1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
  9. Sina hili wala lile

    Kariakoo ni soko kubwa sana na litanufaisha watanzania kama serikari mambo kadhaa

    kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo 2. Kupunguza tozo za biashara 3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia...
  10. GoldDhahabu

    Watu wanaogopa kujaribu mambo mapya?

    Ninazungumzia baadhi ya wenzetu humu jukwaani ambao ama sijawaelewa, au wana "tatizo". Nimeliona hili pindi mtu anapouoandisha uzi ambao una chembe za kifursa. Mathalani , mtu anaweza akawa anaelezea fursa zinazopatikana kwenye shughuli fulani kama kilimo, biashara, n.k. Imeshuhudiwa mara...
  11. MK254

    Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the “possibility” of an Israeli attack on Iran’s nuclear sites. Speaking to reporters in New York on Monday...
  12. matunduizi

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
  13. Annie X6

    Kuna mambo ni uhuni tu serikalini. Je, huku si ndio kujidhalilisha?

    Fikiria ishu imetumwa muda mrefu hadi leo hainapokelewa. Labda kuna wanaohudumiwa na hìi mifumo watuambie. Kwa mtundo huu serikali inajidhalilisha kuweka vitu visivyotekelezeka. Hii imetuwa lkn not attended
  14. MamaSamia2025

    Ninasikitishwa na kitendo cha mwanariadha mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon. Ni ukosefu wa uzalendo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa. Hii sio mara ya kwanza kwa kijana wetu kufanya hiki kitendo cha hovyo. Mbio sio kuanza ni kumaliza...
  15. D

    Hii vita "SHKAMOO na "MAMBO" imekuwa ngumu sana

    Hii vita "SHKAMOO na "MAMBO" imekuwa ngumu sana Unaweza kukuta jinsia ya ke imejipodoa au tuseme imejitunza sana kufikia mahala ule uzee au umama hauonekani na unapokutana nae kwa mara ya kwanza ukimwambia "mambo" anaitika "poa" au anaweza asiitikie kabsa lkn mtu ambae anamfahamu kwa muda mrefu...
  16. Escotter20

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda). Sasa ipo hivi, kutokana na...
  17. H

    Ubaguzi na dharau uko kila sehemu, unahitaji jicho la tatu kuona mambo

    Wengi tunadhani ubaguzi ni wa rangi tu, hapana kuna ubaguzi wa nchi kubaguliwa bila kujali rangi zao. Mimi nataka kuongelea Tanzania tu. Nchi yetu kuna matabaka tofauti, Mswahili, mwaarabu. Indian na mpaka wasomali lakini sote ni wa Tanzania. Kuna jambo mimi muda mrefu limekuwa linanikera sana...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Urgent: Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta

    Nimepata email wachina wanatafuta watu wakwenda China wajifunze mambo ya mafuta. Ndugu yangu kama una hamu ya kwenda China anza kufanya maombi. Mwisho wa maombi ni kesho. 中文版 2024 Shanghai Government Scholarship -- “Belt and Road” Petrochemical Industry Technician and Executive Development...
Back
Top Bottom