ukristo

  1. Mhaya

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran. Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa...
  2. Mto Songwe

    Dini za Ukristu na Uislam zinaendekezwa sana kwenye nchi za Kisekula

    Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana. Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote. Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k...
  3. M

    Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  4. Kichuguu

    Ukristo Marekani umekosa Mwelekeo

    Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la kikatoliki kwa muda mrefu sana kwani ndilo nililoona lilikuwa karibu na nyumbani kwani na ibada zake...
  5. Mto Songwe

    Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

    Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee. Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
  6. Wadiz

    Waimbaji wa Injili wamekosa Dira mpaka wamevamia content zetu za minyanduo ni hatari kwa Ukristo siku za usoni

    Ukristo wageuka dini huria, kila mtu afanya atakalo, uongozi wa kiroho umegeuka biashara. Content za minyanduo zavamiwa na waimbaji wa Injili. Dunia uwanja wa Fujo. Yes apewa character ya kunyanyua na kunyandua mchana kweupe Yesu mwamba anaelekezwa afanye kuwanyandua waimbaji. Toba Toba...
  7. Mhaya

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  8. YEHOVA

    Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

    Hakuna kama Yehova, 1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani, 2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100% 3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu...
  9. Joyboy

    Waarabuni hutumia Islam to colonize countries kama vile wazungu walivotumia Ukristo

    Uislamu ni "Trojan-horse" wa ukoloni wa Kiarabu. Mwanzilishi wa dini hiyo alikuwa Mwarabu. Kitabu chao kitakatifu kiko katika lugha ya Kiarabu. Lugha unayopaswa kujifunza na kutumia katika sala nayo ni Kiarabu. Mwelekeo ambao unapaswa kuomba ni Uarabuni. (Ambao hata hivo hauko sahihi...
  10. Mhaya

    Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  11. Mhaya

    Athari za vita vya Kidini

    Katika historia ya binadamu, vita vya kidini vimekuwa ni mojawapo ya matukio yenye athari kubwa kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Vita ya Israel na Palestina imedhihirisha wazi udini miongoni mwa watanzania wengi. Mara nyingi, mizozo hii inachochewa na tofauti za imani na itikadi za kidini, ikileta...
  12. Mto Songwe

    Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

    Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo. Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia. Lakini kuna kitu nazidi...
  13. matunduizi

    Mamlaka 05 za waumini wa kawaida kabisa zilizoporwa na watumishi

    1: UKUHANI WA KIFALME Kila muumini ni Kuhani na no mfalme chini ya mfalme mkuu Mungu Muumbaji. Kuhani kwa maana ya kazi ya kuwapatanisha wasiomjua Mungu na Mungu wao. Mfalme wa maana hamilikiwi na mtu au vitu ameubwa kumiliki huku anamilikiwa na Mungu tu. Viongozi wanabaki na heshima yao ya...
  14. Ritz

    Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
  15. Victor Mlaki

    Ukristo Afrika unajifunza nini juu ya vita inayoendelea Israel?

    Historia yoyote itokeayo Duniani huacha fundisho. Kutokujifunza kutokana na historia ni tatizo binafsi. Leo Afrika madhehebu mengi yanaamini katika Mungu wa Israel. Sala nyingi humtaja Mungu wa Israel " Mungu wa Wayahudi".. Kipindi tunakazana huku Afrika kuomba na kuombewa huku tukiamini...
  16. Nelson Jacob Kagame

    Hii dunia ni yetu pekee na watu wote ni watumwa wetu (kumbukumbu zangu Juni 17, 2020)

    Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na...
  17. Mto Songwe

    Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

    Kwanini ukristo kupitia ukatoliki na dini washirika iliamuru kushika upanga na kuchinja wale wote wasiowaamini huko Ulaya na sehemu nyingine duniani? Nakaribisha wajuvi wa mambo.
  18. Father of All

    Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

    Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani, Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia, Walitupora majina yetu. Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wanaoenda mijini na kudandia mtumbwi wa vibwengo

    VIJANA WANAOENDA MIJINI NA KUDANDIA MTUMBWI WA VIBWENGO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwenye Wadada 10 basi 8 wanaovaa uchi, wauza nyapu, na wanaofanya mambo ya hovyo basi ni Watu wakuja. Yaani wamekuja mjini wakiwa tayari ni Watu wazima. Wadada 2 ndio wamezaliwa mjini Halikadhalika na...
  20. Mganguzi

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu. Hapakuwa na makorombwezo Wala...
Back
Top Bottom