muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Kupigwa na jua ni muhimu kuliko tunavyodhani

    Moja ya vitamin ngumu kabisa kupatikana kutoka kwenye vyakula ni Vitamin D. Mahitaji ya siku ya vitamin D kwa binadamu ni wastani wa 600IU(International Unit). Ni vyakula vichache sana vinaweza kukupatia kiasi hiki cha vitamin D kwa siku. Vitamin hii hupatikana kwa wingi kwa kupigwa na jua. Mtu...
  2. GENTAMYCINE

    Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

    1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu. 3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe...
  3. Mzee makoti

    Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya. Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160. Je, Wataalamu...
  4. L

    Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  5. Chizi Maarifa

    Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

    1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
  6. BARD AI

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo...
  7. M

    Ni muhimu BoT kuongeza umakini katika hizi Benki

    Leo nilikua napitia mtandao nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Na fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua. Hii inapelekea wakopaji kujikuta wanalipa fedha nyingi kuliko walichokopa sababu tu ya baadhi ya wafanyakazi...
  8. Genius Man

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  9. baba aura

    Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  10. A

    DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  11. B

    Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho: 2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana: 3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au wamzuie kupigana kwa maana ataua mtu! 4. Wenye busara zao nao hawataacha kudadavu yao: 5. Kwa...
  12. Abdul S Naumanga

    Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  13. Uzalendo wa Kitanzania

    Niliyoshuhidia Leo maeneo ya Skansca Salasala yamenifurahisha kweli hela ni muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu Gharama zake za kutisha Nimeweka kiambatanisho Kwa rejea yenu Niwatakie mchana mwema wakuu.
  14. S

    Gamondi jifunze kupumzisha wachezaji wako muhimu unapokuwa na mechi muhimu za kimataifa

    Japo unafanya kazi nzuri, lakini ulikosea sana kuweka kikosi kizima cha first eleven ulipocheza na Azam katika mchezo wa ligi kuu huku ukikabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Mamelodi. Najiuliza tungepata majeruhi zaidi, leo hali ingekuwaje? Kesho mkifuzu, ni bora kuchezesha asilimia kubwa ya...
  15. R

    Hizi teuzi na tenguzi zimetosha, tujadili kipi tuache kipi?

    Salaam, shalom!! 1. Tulipokuwa tukisubiri kupokea Mikataba mliyoiita HGA ya mkataba wa Bandari mlisema mikataba hiyo itakuwa wazi italetwa na kujadiliwa bungeni, hatujakaa sawa, tukasikia mikataba imeshasainiwa huko Dodoma kimya kimya na siku hiyo hiyo akateuliwa Katibu Mwenezi wa chama...
  16. Abdul S Naumanga

    Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
  17. Ndata

    Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  18. Mto Songwe

    Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  19. GENTAMYCINE

    Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
Back
Top Bottom