serikali

  1. P

    Ukiangalia vizuri mpotoshaji mkubwa ni serikali, kwanini inachukuliwa hatua pale tu mwananchi akipotosha?

    Wakuu kwema? Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona manyani "Tanzania inaelekea wapi?" baada ya kuona shtaka la kusababisa uchochezi ni weak shataka likageuka...
  2. Erythrocyte

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
  3. K

    Nauli jiji la Dar es Salaam na viunga vyake ni za kumuumiza mwananchi. Serikali fungua nati

    Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la kukurupuka kuipandisjmha bila utafiti wa kiuwiano. Zipo njia hazina tatizo lolote kwa mfano. Mbezi- kibaha...
  4. Mdude_Nyagali

    Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia...
  5. MamaSamia2025

    Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; =================== Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi...
  6. Mgeni wa Jiji

    Nadhani serikali imeshindwa kujua itumie vipi mechi za Yanga na Simba weekend hii kujitangaza kiutalii

    Salamu Wakuu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa. Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu...
  7. Nanren

    Shukrani kwa Serikali

    Nimepokea mshahara siku nne zilizopita (kutoka serikalini) Kwa kweli ninawiwa kuishukuru serikali yetu shupavu inayoongozwa na chama kikongwe. Mpaka sasa mshahara bado haujaisha na inawezekana ukanifikisha Ijumaa kuu. Hongera sana viongozi wa chama na serikali. Kusifia ni muhimu.
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Serikali imdhibiti Maulid Kitenge na kundi lake la wahuni wanaojiita Wasafi Jogging Group

    Huyu jamaa Kwa kutambua kwamba nchi Sasa Ina mbululaz wengi wanaojipendekeza Kwa watu maarufu huku wakijiita machawa akaanzisha kundi la kukimbia mchakamchaka barabarani. Mazoezi ni muhimu Kwa afya ya mwili na akili, lakini yasifanywe kihuni, yafanywe mahali sahihi na salama Kwa wafanya mazoezi...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  10. Candela

    Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Kama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.
  11. Kaka yake shetani

    kuna kaushamba bado kapo tanzania na haya mapokezi ya ndege za serikali

    hivi tungekuwa tumeorder ndege 500 si kila siku tungekuwa tunafanya mapokezi. hakuna kazi zengine za kufanya?. alafu sio hiyo hayo tu yani hata kibarabara au kidaraja nayo inatengwa siku kuzinduliwa. tutaacha lini
  12. A

    DOKEZO Pangani: Taka hatarishi za hospitali zinaokotwa ufukweni, Serikali ichunguze wanaofanya michezo hii

    Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni. Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni. Kuna Hospitali au Kituo cha Afya ambacho haifahamiki kinatupa taka zake baharini, yawezekana zinatoka hata...
  13. T

    Serikali ya Marekani yaishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko la simu kinyume cha Sheria za Ushindani

    Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems). Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
  14. Stuxnet

    Hatimaye Serikali yajitenga na kauli ya Ndumbaro kuhusu kuingia uwanjani na passport

    Kupitia Msemaji wa Serikali Mobhare Matinyi, Serikali imesema kauli ya Waziri Ndumaro ilikuwa ni utani. Nawapongeza wana JF wote waliopiga spana mpaka Serikali imerusha taulo.
  15. Course Coordinator

    Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu. Ikiwemo Kujaza...
  16. Mjanja M1

    Serikali: Ndumbaro alikuwa anatania tu kuhusu zuio la Jezi

    “Alichozungumza Mheshimiwa Waziri wa Michezo Dkt.Ndumbaro alikuwa anahamisha Uzalendo wa timu zetu na katika lugha zetu za michezo waandishi wa michezo tunafahamu, mimi niliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) sisi tukizungumza 80% utani, 20% tunazungumza vitu...
  17. 1

    Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria. Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi...
  18. M

    Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  19. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
Back
Top Bottom