Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
Ndiyo maana tunashauriwa tumshukuru Mungu kwa kila jambonadhani huko alipo kamanda ernest mangu anashukuru sana kukiepuka hiki kikombe cha uigp
Ndiyo maana tunashauriwa tumshukuru Mungu kwa kila jambonadhani huko alipo kamanda ernest mangu anashukuru sana kukiepuka hiki kikombe cha uigp
some times il kan be trueMambosasa alileta sinema ya wazungu ndo waliomteka Mo
Baada ya siku 8 mkuu wake kaleta sinema picha ya gari iliyotumika kumteka Mo
AAAAH KUMBE MNAJUA KAMERA ZINAVYOFANYA KAZI??? BASI SEMA NA ZILE ZA NYUMBANI KWA LISSU LILE GARI LILIELEKEA WAPI???Wakati mwingine muwe mnatumia akili hata kidogo. Kufuatilia gari kwa CCTV camera siyo kwamba zinakuwa nyuma zinafuatilia gari bali wanachunguza camera mbali mbali zilizo karibu na barabara!
Wewe endelea kufanya yako.Mzee baba, wanao teseka ni watu wa familia yake. Watz tunafanya yetu wala hatuna habari.
Hawa ni wazungu wa baraka Obama street pale chitipa.Dah Wazungu wa Maputo wamemteka ndugu yetu!
povu zito[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Koma Wewe akili zangu sio za kushikiliwa Na mama awe hai au kafa kama Zitto Kabwe
Alichokuwa anakifanya jana ni kama kujichoresha,Jana wametugawa, eti mmoja anasimulia kupotea kwa Mo mwingine yuko busy na timu ya Taifa. Lengo watuchanganye tusifuatilie kiini cha jambo lenyewe.
Acheni kuteka watu. Hamtakaa madarakani milele.
Naunga mkono hojaMimi ni miongoni mwa Watanzania ambao niliumia kwa kitendo cha kutekwa mfanyabiashara Mo
Nimekuwa nikifuatilia kwenye mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutekwa Mo aliyenikosha ni Mh Zitto ,Zitto ameshinikiza serikali ya Tanzania bila kuficha kuwa serikali na jeshi la polisi wamurudishe Mo
Pia pongezi kwa waziri kivuli,Lema na Tundu Lisu kuonyesha dunia kuwa kuna mchezo unaochezwa hapa Tanzania ambao hauwezi kuepusha washirika wake ambao huenda wakawa wamo serikalini
Asant Mungu Mo kurudi salama
Kama huku pay attention, ulijua vipi kuwa katoa Mil 50?Alichokuwa anakifanya jana ni kama kujichoresha,
Hakuna Mtanzania aliye pay attention eti katoa Mil 50 ..
Mimi nafikiri ile kauli ya familia ya kufunga viwanda vyote tarehe 20/10/218 ambayo ni leo, ndiyo ikesababisha wakamwachia. Ni mtazamo wangu tu huu, na siyo lazima uwe ndiyo ukweli.