Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,305
Hili jambo ni kubwa sana nadhani wacha nisubiri waqt utaniambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu zinapiga picha mbele zinazunguka nyuma zinapiga halafu zinaenda ubavuni zinapiga, hii ni CCTV ya aina yake ilibakiza kufunua boneti ipige picha ya injini.
Lini mtamrudisha MO?Mara ya mwisho kupima IQ yangu ilikuwa ni 123 vs wastani Tanzania ni 70, hivyo kubakia peke yangu ambaye nakataa Utumwa, Wizi na Ufisadi unaofanywa na Wahindi kama Dewji nchi hii siyo ajabu!
Zitto Kabwe sasa hivi ni Mr Zero wengine hadi wanaongea vibaya kuwa Marehemu mama yake ndie alikuwa akimpa hoja baada ya kufariki akabaki mwenyewe akili weupe wake kichwani ndio unaonekana Mama ake ndio alikuwa MPa hoja wake Na msaidia kujibu hojaSikutegema ujinga kama huo unaweza kusemwa na mtu kama Zitto.
We ndo kopo kabisaaa bora ungekaa kimyamlitaka picha na namba za gari mmepewa sasa mtu anaanza kubwabwaja eti sio hotelini, na camera za CCTV zimefungwa maeneo mengi gali lilipopita asidhani Zito kwamba wameangalia CCTV camera za pale hotelini tu.
Maswali mazuri ya kujiuliza aiseeHivi akija kuachiwa atasema alikua wapi?
Yeye kama billionaire ataendelea kuishi vipi nchini na maadui zake?
Ataweza kutunza siri za hawa watekaji miaka yote?.
Sioni mwanga kwa ndugu yetu kurudi akiwa mzima.
Kimenuka !Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo@moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.
Acha kuwahusisha marehemu na mambo yako ya kijinga, watu wakianza kumuongelea marehemu mama yako utafurahi.Zitto Kabwe sasa hivi ni Mr Zero wengine hadi wanaongea vibaya kuwa Marehemu mama yake ndie alikuwa akimpa hoja baada ya kufariki akabaki mwenyewe akili weupe wake kichwani ndio unaonekana Mama ake ndio alikuwa MPa hoja wake Na msaidia kujibu hoja
Kiama kipo ccm.dhambi walioifanya ccm 2015 matokeobyake ndo haya.inawezekana hata mbunge ccm akatekwa.Wewe utabaki jinga hadi watoto wako,MO mpo naye ,mtoeni haraka sana kabla nguvu ya umma haijachukua hatua...
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Wanaudhi sanaDrama tu hizi. mtu anakwenda kuteka mtu maarufu kama yule anaweka namba za gari za kweli?! Ujinga huu wawalishe wenzao Lumumba not the rest of the Tanzania mass, those with independent thinking!
Mkuu hizi ndiyo picha za security camera? Kweli? Cctv? Haya bana!!
Kuna watu huwa wanajifanya hamnazoWewe ujue ni kiazi?
Usijitoe ufahamu.
Hivi mkuu hata kama wewe ni mkereketwa kiasi gani ukiona upande wako wamekosea unapaswa kuwarekebisha au kukiri kosa watu wanafatilia tangu kauli za awali toka siku ya tukio kwa maana polisi walisema nigari aina ya surf na watekaji ni wazungu kama ni surf inamaana kamera ndiyo ilinasa kuwa ni surf na kamera kuwa ni kwenye tukio hotelini Leo polisi wanaleta picha ya surf ndiyo hiyo watu wana hihoji polisi walupaswa watuoneshe picha za CCTVAcha uzushi ni wapi Sirro amesema hiyo picha ilipatikana kwenye CCTV?
Koma Wewe akili zangu sio za kushikiliwa Na mama awe hai au kafa kama Zitto KabweAcha kuwahusisha marehemu na mambo yako ya kijinga, watu wakianza kumuongelea marehemu mama yako utafurahi.