Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Hiyo form four tulifundishwa inaitwa Ground photograph. Kwa kuitazama tu hiyo picha inajieleza imechukuliwaje huhitaji akili kubwa hapo
 
Kama kuna jambo la aibu na fedheha basi ni tukio la leo kuhusu picha za gari linalodaiwa kuhusika katika utekaji wa Mo zilizotolewa na IGP. Maelezo na picha hizo yameleta utata zaidi na kulivua nguo jeshi letu imara la Polisi. Yamegeuka kuwa vichekesho na dhihaka mitandaoni na mitaani.

Sisi wazalendo na wenye kuamini uwezo wa juu wa jeshi letu tumeumia sana. Tunapenda kutoa wetu kwa wahusika wote waliohusika katika kumpa ushauri mbovu IGP wachukuliwe hatua haraka sana.
Gari INA pancha iko juu ya jerki
 
Mzee wa fact,Le mbebeez Le mobimba Le degree in Criminology and Psychology le baharia Le Mkitambi Le Msemaji wa Bashite Le forever young !Haja comment chochote kuhusu picha ya gari la mateka.
 
Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.

Mpenda kiki,huyu anatafuta jela halafu aanze kupiga kelele,polisi waitesa vipi familia ya MO,toka anyimwe nafai ya kuwa Waziri wa nishati basi kila kitu kwake kibaya,pole Mr wajane
 
Kuna maswali ya kujiuliza kidogo

1. Kwanini suala hili linahusishwa na 'nje'? Kwanza ilikuwa wazungu, sasa ni nchi jirani
Kwanini focus isiwe pale alipotekwa na vitu kama Camera n.k.

Ukimsikiliza kamanda, gari ilipita mpakani. Je, mmiliki ni nani? Ni mpaka gani na dereva aliacha kile kitabu upande wa alikotoka au anakokwenda? Gari ilimilikiwa na nani ikiwa inaenda wapi

Maswali hayo yatasaidia kutatua kitendawili cha WAZUNGU.
Je, kila mwenye rangi 'nyeupe' ni mzungu?
Mzungu ni nani, Mreno, Mhispania, Italy, Mbelgiji, Turkey, Russia, Oman, Mhindi , Mbrazili au ni nani?

Tunarudi tena, je, ilipopita mpakani ilikuwa inamilikiwa na wazungu?
Na kama sivyo, nani alikuwa mmiliki

2. Picha za gari zinatoka katika CCTV ? Mbona inaonekana kama ime paki eneo fulani mchana?

3. Kuna uhusiano gani kati ya uhalifu wa 'MKIRU' , msumbiji na haya yaliyotokea?

4. Kama gari ilipita mpakani, interpol wanakazi gani ikiwa gari haikurudi ilikotoka?

Naona taarifa kama zinazidi kuchanganya badala ya kutoa uelekeo

JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
 
Sijui kama kesho itaisha kabla ZZK hajaitwa kuhojiwa.
Na asipoitwa maswali yatakuwa mengi sana.
​
 
Mkuu, najua huwa upo curious - kuhoji na kutaka kujua zaidi, lakini ni matumizi mabaya ya akili kujiuliza maswali magumu kwa mambo ya wazi: UKISHAMALIZA KUMUOGOPA MUNGU IOGOPE HII KITU INAITWA SAYANSI NA TEKNOLOJIA:SHUHUDIA MWENYEWE - JamiiForums
 
Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.

Matatizo ya kutumia sehemu ndogo ya ubongo wako. Mawazo gani haya kutoka wa mtu anayejiita mbunge? mwishowe tutatumia neno foolish!
 
Drama tu hizi. mtu anakwenda kuteka mtu maarufu kama yule anaweka namba za gari za kweli?! Ujinga huu wawalishe wenzao Lumumba not the rest of the Tanzania mass, those with independent thinking!
Waangalie usajili wa Bima watapata muhusika, pia hata polisi hasa ant robary utumia pletty no za nje kwenye cruiser zao
 
Kwahiyo wakiwa ' Wahindi ' na ' Matajiri ' Ukoo mzima ndiyo ' watekwe ' na ' wanyanyasike ' Mkuu? Kwahiyo kumbe ' Kumpigania ' Mtu ili apate haki zake yatupasa Kwanza tuwe tumekula pamoja na Familia zetu? Hivi akina Hayati Nyerere, Kwame Nkurumah, Patrice Emelly Lumumba, Thomas Sankara na Nelson Mandela wangejali ' matumbo ' yao wangekuwa tayari kuzipigania nchi zao ili zipate Uhuru kutoka kwa ' Makoloni ' yaliyokuwa yakitunyanyasa? Kuna Watu / Members hapa Jamvini ' naturally ' ni ' Wapumbavu / Mapopoma ' sijawahi kuona na kudhania.
Wachana nae mkuu, watu wenine hata utu hawana, yeye hajui mimi ninani, hajui kaa mimi ni tajiri au ni masikini na licha ya yote binadamu ni binadamu mimi hujali wote, waafrika, wahindi,wazungu, weye hela na pia masikini
 
Ina maana kama waliweza kupata footage za gari hadi kawe inakuwaje wanaleta picha ambazo hazikupigwa na CCTV
 
Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.
Ushauri wangu ni uleule tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Hivi mbona familia ya ndugu yetu huyo aliyetekwa nyara hawalalami kama tunavyofanya sisi? Wao wanapata briefing tofauti na yetu na hawawezi kuweka wazi baadhi ya taarifa wanazopewa na polisi kwa sababu za usalama wa mtoto wao.
Ebu mshauri sirro aache kuongea na vyombo vya habari kutujuza mwambie sisi umetuambia tuwaachie wao wafanye kazi.

Pia katika kuwaachia wafanye kazi mkumbushe kwamba gari yoyote inayoingia nchini huwa inasajiliwa at the point of entry hivyo wakitaka kutwambia waje na maelezo mazuri kwamba ni nani aliiombea kibali cha kuiingiza nchini na ikitokea nchi gani.
 
Mpenda kiki,huyu anatafuta jela halafu aanze kupiga kelele,polisi waitesa vipi familia ya MO,toka anyimwe nafai ya kuwa Waziri wa nishati basi kila kitu kwake kibaya,pole Mr wajane
kwa hiyo kutekwa mo kuzuri? kweli watu wa kijani mnachuki za kichawi!
 
Back
Top Bottom