Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,771
- 126,707
Kampuni ya MeTL Group yakanusha taarifa ya kufungwa Viwanda vyake tarehe 20/10/2018 - JamiiForumsMimi nafikiri ile kauli ya familia ya kufunga viwanda vyote tarehe 20/10/218 ambayo ni leo, ndiyo ikesababisha wakamwachia. Ni mtazamo wangu tu huu, na siyo lazima uwe ndiyo ukweli.