Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.


tukitaka kujua sana tukasome ccp moshi tuwe wapelelezi.shikamoo tz
 
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Kwako mwenye uwezo wa kuhoji nchi hii ni mchawai?? Inawezekana maana wengine wote wameufyata kabaki yeye..Tunamuitaji sana mtu kama zito kipindi hiki vinginevyo hata ww itafika wakati utatafuta pa kutokea
 
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Mrithi wa Yule Mzee alokuwa anatundika koti bila peg . Analoga hadi panya na hana Haya
 
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Hata sura yake tu ni ya kichawi kichawi kichawi!!!!!uso utafikiri umetafunwa na chui .
 
Wewe ndo unajua alipo, siajabu hata unajua pia alipo Mbunge wetu Fili, who knows?
Halafu umebaki ww tu mgumu kuelewa picha ilivyo hili la Mo ninawasiwasi utakuwa ni Bashite.
 
cctv za polisi zina miguu mkuu! Zinafuatilia ukiondoka mpaka unakishia ndio maana wakajua mpaka Round about/kawe
Wakati mwingine muwe mnatumia akili hata kidogo. Kufuatilia gari kwa CCTV camera siyo kwamba zinakuwa nyuma zinafuatilia gari bali wanachunguza camera mbali mbali zilizo karibu na barabara!
 
Z

Kwani huko njiani hakuna raia wema ambao nyumba zao Zina CCTV ambao walitoa ushirikiano kwa Jeshi la polisi gari hiyo kuiona imepita maeneo yao? Zitto anaona kama kazi kubwaa.Wenye nyumba maeneo hayo aangalieni CCTV zenu mkiona hiyo gari kwenye rekodi pelekeni ripoti kwa siri haraka Na ushahidi wa CCTV polisi
Sikutegema ujinga kama huo unaweza kusemwa na mtu kama Zitto.
 
Halafu umebaki ww tu mgumu kuelewa picha ilivyo hili la Mo ninawasiwasi utakuwa ni Bashite.


Mara ya mwisho kupima IQ yangu ilikuwa ni 123 vs wastani Tanzania ni 70, hivyo kubakia peke yangu ambaye nakataa Utumwa, Wizi na Ufisadi unaofanywa na Wahindi kama Dewji nchi hii siyo ajabu!
 
Kibaraka hawez kuunga mkono juhudi zozote zifanyazwo na serikali iliyopo....


Huyu jamaa ni mwanasiasa mzuri... Ila tamaa... Kuropoka na mashinikizo ndio yanamharibu....

Kauli za kidwanz kama hizi... Akichukuliwa hatua... Kuna tatizo?
 
Back
Top Bottom