Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Sasa uliposema "watz tunafanya yetu hatuna habari" ulimaanisha kitu gani maana hata ndugu zake pia ni watz. Kwa hiyo na wao wanafanya yao hawana habari na ndugu yao si ndivyo?
Nadhan hukuielewa txt yangu, ukisikia familia yako inamaanisha ukoo wako mzima. Na pia si kila tatizo humgusa kila mtu, yapo matatizo ambayo huwa si level yako
 
Zitto ni wakati wa kulifuatilia hili jambo.
 
Hili jeshi lini litajisafisha kuhusu utekaji.
 
Back
Top Bottom