Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,244
Mzee baba, wanao teseka ni watu wa familia yake. Watz tunafanya yetu wala hatuna habari.Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo@moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.