Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Hapo ni wapi?Picha imepigwa lini???
Hapo ni wapi?Picha imepigwa lini???
mbona sioni wazungu hapo
Halafu picha za CCTV huwa zinaonesha muda picha ilipochukuliwa!Kwa maelezo ya zitto yuko sawa kabisa hata picha ya gari imechukuliwa gari ikiwa imepaki Ni dhahiri taarifa zote wanazifahamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii ya Kamanda tunaiita roho inatamani ila mwili unasita
Basi wawe wanatoa taarifa zenye angalau karibu na uhalisia. Je hapa ni Collessium Hotel na hizi ni CCTV footage?Jamaa ana
Mheshimiwa kuna wakati ukimya huzungumza . Sitarajii vyombo vya usalama viwe vinatoa taarifa za kina kwani kufanya hivyo kunaweza kutishia usalama wa ndugu yetu aliyetekwa nyara. Nakusihi tuwawache wafanye kazi yao.
Too many cooks spoils the broth
Picha gani za cctv hazioneshi muda?Hiyo picha imepigwa na Tecno!Wewe ndo unajua alipo,
Halafu picha za CCTV huwa zinaonesha muda picha ilipochukuliwa!
review your very last sentence grammaticallyJamaa ana
Mheshimiwa kuna wakati ukimya huzungumza . Sitarajii vyombo vya usalama viwe vinatoa taarifa za kina kwani kufanya hivyo kunaweza kutishia usalama wa ndugu yetu aliyetekwa nyara. Nakusihi tuwawache wafanye kazi yao.
Too many cooks spoils the broth
Hivi wanadhani watz ni wapuuzi kiasi hicho?Wewe angalia tu hiyo rangi ya picha iko clear kabisa
Jamani hapa sio Collesum Hotel wala sio saa 11 alfajiri.
Watanzania nimewashindwa aisee
Manyumbu ya kijani lazima yashikwe masikioHivi wanadhani watz ni wapuuzi kiasi hicho?
Wanatuchukulia poa sana!Jamani hapa sio Collesum Hotel wala sio saa 11 alfajiri.
Kwani siro amesema picha alizoonesha ni za cctv?Halafu picha za CCTV huwa zinaonesha muda picha ilipochukuliwa!