Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

Habari zenu wakuu wa JF, leo hatimae igp sirro ameongea kuhusu MO, .Lakini nafikiri sirro anatona sisi zote watanzania ni kaa hatukuenda shule, hatuwezi kufikiria au hatuna utaalamu wowote haswa kwa mambo ya hii kitu kinaitwa(CLOSED CIRCUIT TELEVISION) kwa kifupi CCTV, nimeona ameleta picha ya gari ambayo anadai ndio ilutumika katika kumuteka ndugu yetu MO.Lakini yaonekana either sirro hana ujaja wowote kwa hii mambo ya vile cctv inafanya kazi au aliamua tu kutuona sisi watz mafala.Twende taratibu katika hio picha, hata kaa mimi sina utaalamu mkubwa wa IT,lakini mambo ya cctv, haifamu kabisa,ukiangaliaa ile picha ya ile gari itakuta vitu muhimu haziko ambazo huwemo wakati cctv inachukua picha,Kwanza kabisa kaa ile picha ilipigwa na cctv camera, basi ile gari ingekuwa na dereva ambae angekuwa anaindesa kaa kweli ilinaswa na cctv either za hoteli au cctv za nyumba jirani , lakini ukitazama ile picha itaona ile gari ilipigwa picha IKIWA IMESIMAMISWA PAHALI FULANI., pili takika picha yoyote ya cctv camera hua kuna vitu 4 muhimu, hizo ni TAREHE, SAA ILIYOPIGWA, DAKIKA ILIYPIGWA, NA MWISHO SEKUNDE ILIYOPIGA, mfano, ni huu, kaa ni leo cctv ipige picha hio picha ingeoyesa hizi, 19 october 3,45,23,,hio ni hii piga ilipgwa tarehe 19 october,mwedo wa saa 9 mchana, dakika ya 45, sekunde ya 23.HIZI NDIVYO CCTV HUFANYA KAZI., jamani angalieni hio picha sirro ametoa,Jambo la pili na la muhimu kaa ingekuwa kweli ile picha ilipigwa pale hoteli au nyumba jirani na iwe sirro hafichi lolote angetoa CCTV FOOTAGE, yaani kwa kaa dakika 1 hivi au sekunde 35 hizi, angeoyesa video ya hio tukio, na hapo tungeona kila kitu, maoni yangu ni haya, "WATU WASIOJULIKANA WANAJUA PAHALI NDUGU YETU MO ALIPO" PERIOD hakuna lingine, na hio mukutano wa habari wa kamada sirro HAS CONFIRMED THAT,pls bring back MO to his family,
Hujasikia habari kuwa karejea alfajiri ya leo?
 
Kwa kusema ukweli anakua na roho mbaya na mchawi. Maelezo yaliyotolewa na polisi yakezua maswali zaidi, na huenda maswali yakazuka zaidi. Mnayoyakubali toeni hoja. Huenda ni ya kweli toeni hoja wasiyoyakubali washawishike kuyakubali. Kesho hatujui na nini atatekwa
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Huyo zitto ana jeshi lake la polisi!
Polisi chombo kinachofanya uchunguzi wa kusaidiana na vyombo vingine.
Ni ujinga kumwamini zitto kuliko jeshi la polisi ambalo limekesha usiku na mchana kufuatilia tukio zima kwa umakini mkubwa..

Hata ukijiuliza maswali bado ukweli upo polisi na kwa mhusika(Mo)baada ya kupatikana.....maswali mengine nje ya hao ni assumption zetu.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Ukimuangalia usoni Zitto utajua kuwa ana roho mbaya na mchawi achilia mbali kujitapa kuwa yeye ni mchawi
Basi wewe utakuwa na roho mbaya zaidi na baba la wachawi. Haiwezekani ukafahamu roho ya mtu na uchawi wake wakati haufanyi hayo.

Vv
 
Huyo zitto ana jeshi lake la polisi!
Polisi chombo kinachofanya uchunguzi wa kusaidiana na vyombo vingine.
Ni ujinga kumwamini zitto kuliko jeshi la polisi ambalo limekesha usiku na mchana kufuatilia tukio zima kwa umakini mkubwa..

Hata ukijiuliza maswali bado ukweli upo polisi na kwa mhusika(Mo)baada ya kupatikana.....maswali mengine nje ya hao ni assumption zetu.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Ukweli ni kuwa walijua Alipo MO lilikuwa suala la Muda muda tu....
 
Huyo zitto ana jeshi lake la polisi!
Polisi chombo kinachofanya uchunguzi wa kusaidiana na vyombo vingine.
Ni ujinga kumwamini zitto kuliko jeshi la polisi ambalo limekesha usiku na mchana kufuatilia tukio zima kwa umakini mkubwa..

Hata ukijiuliza maswali bado ukweli upo polisi na kwa mhusika(Mo)baada ya kupatikana.....maswali mengine nje ya hao ni assumption zetu.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Unaye sifia polisi eti wamekesha jiulize watekaji wamewazaje kufika mpaka gymkhana na kumuachia MO?
 
Unaye sifia polisi eti wamekesha jiulize watekaji wamewazaje kufika mpaka gymkhana na kumuachia MO?
Ujinga ni kujifanya unajua kila kitu!na hii Tabia mbaya sana na inaibuka miongoni mwa watanzania.
Mtu huna taaluma yeyote ya mambo ya usalama(intelejensia) then unawabishia kwa assumption za kitoto kabisa.
Unajenga twasiri kuwa wewe una uchungu kuliko familia na watanzania wengine.
MTU anapuyuko payuka tu bila kichwa na kwa kufikiria anajua kureason kuliko watanzania wengine!
 
Unaye sifia polisi eti wamekesha jiulize watekaji wamewazaje kufika mpaka gymkhana na kumuachia MO?
Tena kwa gari lilie lile lililotajwa na jeshi la Polisi. Na si mbali na Makao Mkuu ya Jeshi i.e Mambo ya Ndani..kwa kweli kuna mashaka
 
Baada ya polisi kushindwa kuchanganya picha wameamua kuhitimisha tamthlia ya. CCTV gani inatoa picha ambazo ziko clear kiasi hiki. Polisi acheni hadithi zenu msidhani kila mtanzania ni zezeta. Halafu gari hii mbona inaonekana kabisa imeegeshwa. Hiyo CCTV ilikuwa inaifuata hadi ilikoenda kupark? Hahaha! Polisi mnachekesha kweli.
Nimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo @moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.

View attachment 904540
IMG_20181020_002533.jpeg
View attachment 904542

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom