Wamechoka kulazimishwa wanavujisha wenyewe hivyo ndivyo inavyokuwaga mkiwalazimisha watu kwenye taaluma yao ambacho kinawadhalilisha kitaaluma manake polisi wanafanywa waonekane wajinga kupita kiasiWatanzania nimewashindwa aisee
Umezipata wapi hizi picha zote?
cctv za polisi zina miguu mkuu! Zinafuatilia ukiondoka mpaka unakishia ndio maana wakajua mpaka Round about/kaweNimejizuia sana. Acha niseme, maana nisiposema ntaumwa. Kamanda Sirro anajua alipo@moodewji. IGP na Polisi wanataja njia ambayo gari ya watekaji imepita mpaka Kawe, CCTV zilikuwa zinafuata gari ile? Polisi wanaitesa sana familia ya MO na Watanzania.
Acha uzushi ni wapi Sirro amesema hiyo picha ilipatikana kwenye CCTV?Hahah Jpm anapata tabu sana kumpa nyadhifa nyeti ya uwaziri wa mipango DAB yani kila njia anayokuja nayo haifikishi hata nusu saa inamuumbua
Hiyo gari imechukuliwa kwenye matangazo ya mnada harafu wanasema sisitivii teh teh
Sasa hapa ni wapi? hotelini walipomchukua? kule walikomficha sasa au nyumbani kwa mmiliki wa gari hili huko Nchi jirani? Vyombo vyetu bana ni shidaaa
Mbona CCM mnatetea watekaji wa MO?Zzk linafiki hilo achana nalo
Anajua. Makonda anajua, aliewatuma anajua. Siku 9 wanaume wamekuja na pumba bila shaka director ni Mr zero in papers.
Tatizo kubwa la watanzania hasa vijana wako obsessed na negativism. Wengi wetu tuna PHD za kuponda na hatupendiEvidence zote ambazo wanazo kwa kipindi hiki ni classified na kwa sasa wanatoa to sitrep za ujumla bila kuathiri uchunguzi unaendelea.Linapotokea tukio mashirika ya upelelezi kitu cha kwanza kutoa ni CCTV footage polisi yetu hata picha zake ina feki sasa wananchi watasaidiaje.
Anajua. Makonda anajua,
Hivi mwanasiasa msomi unawezaje dhni hii ni cctv?[emoji102][emoji102][emoji102]View attachment 903318
Uzushi uko wapi hapo? Mi nimesema sisitivii wewe wasema cctv sasa nani ni mzushi kati yetuAcha uzushi ni wapi Sirro amesema hiyo picha ilipatikana kwenye CCTV?
Maana ctv kamera zilifuatilia hadi round abut kwikwiiii. Ikifika kesho watu watataja hata alipo Mo kenge sana hawa watu , mtu atafute hela kwa jasho lake hlf wewe uzitake kwa nguvu.Hii ni moja ya sababu zinazomfanya Jiwe amlinde Bashite kwasababu wanashirikiana kufanya uharamia!!! KUFUATANA NA MAELEZO YA SIRRO MOHAMED DEWJI HAYUKO MBALI NA BEACH YA KAWE; ANAWEZA KUWA KAFICHWA KWENYE MOJA YA SAFE HOUSES ZA USALAMA WA TAIFA KULE UFUKWENI!!!
Kwani huko njiani hakuna raia wema ambao nyumba zao Zina CCTV ambao walitoa ushirikiano kwa Jeshi la polisi gari hiyo kuiona imepita maeneo yao? Zitto anaona kama kazi kubwaa.Wenye nyumba maeneo hayo aangalieni CCTV zenu mkiona hiyo gari kwenye rekodi pelekeni ripoti kwa siri haraka Na ushahidi wa CCTV polisicctv za polisi zina miguu mkuu! Zinafuatilia ukiondoka mpaka unakishia ndio maana wakajua mpaka Round about/kawe
Unajua maana ya InterpolWalisema hatuitaji msaada kwann wamewaita interpol?