tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,765
- 29,209
Kweli kabisa. Unaona jinsi alivyokuwa akitoa macho wakati anasimulia hiyo tamthlia yake? Utagundua tu anasema uongo mtupu. Anaamua kuchuma dhambi ili kulinda kibarua chake. Siku hizi kumbe CCTV inachukua picha kiupande hadi kwenye mataili? Wanachi wanazidi kukosa imani na serikali hii ya kusadikika.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hii ya Kamanda tunaiita roho inatamani ila mwili unasita
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app