Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

Hivi hili kongamano la viongozi wa Dini au ni kongamano la WAGOGO & WASUKUMA?

Mbona naona Mada hazieleweki na hata audience yenyewe ya hovyo muda wote kucheka na kupiga makofi tu?

Sawa wala sio jambo baya kama walikuwa na lengo zuri, ila huyu mnayempigia makofi alishaombewa Dsm, Zanzibar, Dodoma, Mwanza na Chatto ingawa mlificha sana tusione makazi ya Rais wa Wanyonge pale Chatto na hata kipindi anaingizwa Kaburini mlificha ficha!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hata Lisu alipoambiwa ukweli kwamba anasaliti nchi kwa kututisha tutashitakiwa MIGA alichukia sana.
 
Hili ni genge la mashetani nimelisikiliza hata sijaelewa wanachoongea!!
 
Atakayeona Askofu wa Katoliki kwenye huu ujinga anijuze nichukue hatua sitahiki
 
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.

Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.

Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.

Updates:

Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli hii na sasa anamwita askofu Shayo kutoka Zanxibar kutoa sala au dua la ufunguzi.

Sasa unapigwa mwimbo wa taifa.

Askofu Malasusa anamuelezea Rais Samia kusudio la kongamano hilo kwamba ni kumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati Magufuli kadhalika kuwabariki viongozi wapya Rais Samia na Rais Mwinyi wa Zanzibar.

Mtoa mada wa kwanza ni askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo ambaye tayari yuko jukwaani.

Walio tegeneza ujinga huo wana ajenda zao.
 
Hapa kuna genge linatafuta umaarufu kupitia kongamano la kidini la kumuenzi mwendazake. Yaani hata 40 yake haijafika leo hii anaenziwa??

So what??
Hio mambo ya 40 ni imani tu zisizo na msingi,mbona hata UN juzi walimuenzi?hayo mambo ya 40 ni ya kwetu huku Afrika tu.duniani huko hawayajali
 
Hili kongamano la amani au arobaini ya marehemu? hakuna dhambi kukosoa makosa ya kiongozi yoyote hakuna mtu au kiongozi mkamilifu. Mitume tu walikuwa wakamilifu kwa Mungu lakini kuna watu bado waliwakataa sasa JPM ndio kawa malaika. wasitishe watu JPM kafanya mazuri na yako mabaya kama waliopita hata Nyerere kafanya mengi mazuri lakini yako alikosea. ndio maana hajawahi kushinda uchaguzi 100% kwa maana kuna wako wanamkataa. nadhani yule Dewji kama hawajamuelewa story ya msumari basi tunashida maana ule ujumbe ni mkubwa japo katoka kama hadithi.
 
Hapa kuna genge linatafuta umaarufu kupitia kongamano la kidini la kumuenzi mwendazake. Yaani hata 40 yake haijafika leo hii anaenziwa??

So what??
sikuona kongamano kwa hayati Ben ila kwa huyu haraka na mapema kutuaminisha kuishi katika legacy yake hawajui kila zama na vitabu vyake tyr kitabu kile kimesha fungwa tuanze kuhesabu kurasa mpya
 
Damage control..baada ya ukweli kuanza kuonekana...

Kwanza waongea ukweli kama former CAG walikaripiwa.
Na sasa yameanza matamasha ya kumpamba
 
Back
Top Bottom