KKKT Arusha wampongeza Rais Samia kwa kuruhusu Maandamano ya Amani ya Chadema jijini DSM, wameomba aendelee kusikiliza Sauti ya Mungu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,006
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM

Askofu amesema yawezekana Sauti za kukataa Maandamano zilkuwa nyingi kutoka Bungeni, Mahakama, Vyama vya Siasa, Wananchi nk Lakini Rais Samia akaamua kusimama na Sauti ya Mungu na kuruhusu Maandamano ya Amani

Hayo yamesemwa mbele ya Makamu wa Rais Dr Mpango aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye Ibada ya kumsimika Askofu mpya Dr Mollel

Source Upendo TV
 
Back
Top Bottom