Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

Kasema kweli tuache unafiki
Kumkosoa kiongozi sio unafiki, ila kama kuna mtu alikuwa anaunga mkono hoja A halafu akaikana Hoja A huyo mnafiki lakini kuna wengi hawakukubaliana na uongozi uliopita
 
Mama anataka kumalizana na mambo ya hayati kabla ya mei na wafuasi wake..ila kuanzia mei mtakuja nipa mrejesho

Damage control..baada ya ukweli kuanza kuonekana...

Kwanza waongea ukweli kama former CAG walikaripiwa.
Na sasa yameanza matamasha ya kumpamba
 
Najaribu kufuatilia kongamano hili la viongozi wa dini huko Chimwaga-Dodoma, Naona kuna viongozi mbalimbali na viongozi wa dini zote wamepewa mada na wamepata nafasi kuzungumza Ila sijaona kiongozi yoyote wa kanisa katoliki akizungumza.Askofu Gervas Nyaisonga amekaribishwa kwa sala tu lakini hajazungumza chochote.Je, kuna jambo au ni kwanini iwe hivyo?
 
Kwanini machadema yanachukia sana yakiona Hayati Magufuli anakumbukwa na watz?
Hakumbukwi na watanzania anakumbukwa na wafuasi wake mimi ni mtanzania ila sitaki hata kusikia habari zake na sipendi unafiki sasa usitusemee
 
Hakumbukwi na watanzania anakumbukwa na wafuasi wake mimi ni mtanzania ila sitaki hata kusikia habari zake na sipendi unafiki sasa usitusemee
Usipomkumbuka wewe inasaidia nini?

Anakumbukwa na watz siyo machadema
 
Back
Top Bottom