Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,947
- 5,342
Mmhhhh!Hatari, Askofu Rashidi na laana alizokua nazo akitia miguu kwenye mlango wa Karimjee, malaika wote watakimbia na kutokomea kusikojulikana.
Mmhhhh!Hatari, Askofu Rashidi na laana alizokua nazo akitia miguu kwenye mlango wa Karimjee, malaika wote watakimbia na kutokomea kusikojulikana.
It gonna be you.....Who is next? Stay tuned
Hakuna Ajuaye Siku Wala SaaWho is next? Stay tuned
Tupo msibani,we kenge huna akili.Naomba Mh Rais atoe neno la kufukuza hofu ya mapepo ya homa Kali.
Na kumbuka ile spichi ya mapapai ilikuwa game changer hofu yote ikatoweka.
Kwanza tuambieni Jiwe yupo?au Bado kajificha uvunguni?Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho litaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli
Up dates;
Mzee wa misibaMbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho pale Karimjee itaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli
Up dates;
Msikejeli cheo cha uaskofu!Kama askofu na mbunge!
Jk yuko smart anajiongeza, hawa wengine wanaogopa kutumbuliwa lakini body language yao tu unajuwa waoga mbona mikono hawapeani ila kuvaa barakoa wanaona issue, raia wa kawaida na wana kwaya wamejongeza wameshaona tunapotezwa. Shame kwa viongozi wa serikali. kusalimiana no ila barakoa.... ujinga wa kiwango cha lamiJK kavaa barakoa.
Hapana YUDA ESCALIOTHAskofu Rashid