Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Tuseme alikuwa muumini wake? Hizo sasa sifa mbaya. Mpeni marehemu heshima kulingana na mahali alikuwa anaabudu.

Gwajima hana luturijia ya mazishi wao kazi kuongea ongea tu. Mbona lakini.
Kuombewa na tapeli wa kutumia neno la Mungu, ni kumfungia marehemu milango ya mbinguni. Mshirikina Gwajima mnampa nafasi kama hiyo?

Mungu na misukule, wapi na wapi! Mbona wamemtenda hivi marehemu? Afadhali niombewe na muumini mwenzangu wa kawaida kuliko na mshirikina Gwajima.
 
Inaumiza na kushanagaza Sana viongozi wetu wote wa serikali hawajavaa barakoa wakati wanamuaga mh balozi kijazi. Rais mstàhafu kikwete amevaa ila makamu wa rais waziri mkuu naibu spika jaji mkuu na makamu wa Zanzibar wako exposed. Watu wa protokali mnawafanya viongozi wetu wawe exposed na vulnerable.
Barakoa ya nini na wakati wamesha chanjwa
 
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.

Zoezi la kutoa heshima za mwisho pale Karimjee itaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli

Up dates;
Anaongoza sala ya kumuombea marehemu badala ya sala ya kumfufua!
 
Naona jukwaa kuu hawana barakoa wengi, kikwete tu ndo kavaa. Tuendelee kunawa maji tiririka na sabuni.
 
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.

Zoezi la kutoa heshima za mwisho pale Karimjee itaongozwa na mkuu wa nchi Rais Magufuli

Up dates;
Mkuu kwa msululu wa watoto uliozaa nje ya ndoa yako inaonyesha hutumii condom unapozini; sasa kwa unafiki mjubwa unataka kuwa mwalimu wetu wa matumizi ya barakoa. Kama wewe na yule yaani wawili tu mlishindwa kutumia condom ama ya kike au ya kiume nani anaweza kuwambia maelfu wale kutumia barakoa na akaweza?
 
Inaumiza na kushanagaza Sana viongozi wetu wote wa serikali hawajavaa barakoa wakati wanamuaga mh balozi kijazi. Rais mstàhafu kikwete amevaa ila makamu wa rais waziri mkuu naibu spika jaji mkuu na makamu wa Zanzibar wako exposed. Watu wa protokali mnawafanya viongozi wetu wawe exposed na vulnerable.
Acha wawe exposed tuzidi kupeperusha bendera nusu mlingoti.
 
mawaziri wote wameweka barakoa mfukoni kumuogopa jiwe, wakitoka hapo breki ya kwanza ni kwenda kujifukiza na kunywa lita kadhaa za tangawizi!.
Afazali hizo tangawizi na malimau yanaua wadudu.Barakoa shida tupu.Inakaba pumzi. Kuna duka nilipita wanatangaza BARAKOA ZIPO ZILE ZA VITAMBAA 3
 
Back
Top Bottom