Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

kituko...makamu wa rais, waziri mkuu, naibu spika hawajavaa barakoa ili kuunga mkono kauli ya mungu wa chatoo kwamba tz hakuna "kolona"!!!.

lakini familia yoote ya Kijazi wamevaa barakoa!!!.
Familia wameshafimywa na mdudu hawataki masihara mkuu.
 
Akili za kuambiwaa....

FB_IMG_1613720670889.jpeg
 
🤣 watu waoga ndani ya mioyo mashujaa mbele ya Mzee tu naona wakitoka hapa wanaenda kuoga na sanitizer. Respect to family wametuma clear message wote barakoa.
Yule mzee mwenye macho makubwa akiongea anayependa camera mbona haonekani leo
 
watu waoga ndani ya mioyo mashujaa mbele ya Mzee tu naona wakitoka hapa wanaenda kuoga na sanitizer. Respect to family wametuma clear message wote barakoa.
Dorothy ameamvaa barakoa ila boss hajavaa
 
kituko...makamu wa rais, waziri mkuu, naibu spika hawajavaa barakoa ili kuunga mkono kauli ya mungu wa chatoo kwamba tz hakuna "kolona"!!!.

lakini familia yoote ya Kijazi wamevaa barakoa!!!.

Wewe vaa barakoa kulinda maisha yako usihesabu wasiovaa

Kuna wengine wameshauriwa kutokuvaa barakoa kwa sababu za kiafya na kuna waliovaa barakoa sababu wanajua tayari wana maambukizi na hawataki kukuambukiza
 
Boss tutavaaje wakati tuliambiwa na baba kuwa tumishinda korona haiko Tanzania.
Acha tusubirie tamko lake LA Leo.
 
Back
Top Bottom