Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Assd alikuwa anavimbishiana kifua na Spika Ndugai kumbe Ngosha anawaangalia tu akisema hiiiiiii.Anamuapisha CAG mteule, anasema maneno ya msingi sana.
1. Usiende kujifanya na wewe ni Muhimili, Mihilimi ni mitatu tu. (ASSAD alijiona muhimili eeh)
2. Una nidhamu sana, unatenguliwa hapa, na pale, lakini haulalamiki
3. Una elimu nzuri na uzoefu wa kazi.