Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

Kwa kauli ya Rais unajua tu kabisa alikuwa hamtaki Proffesa Assad...et we ni mdhibiti wa hesabu za serikali na mwenye serikal yupo ...mwenye serikali ni nani kama sio sisi wapiga kura (wananchi) ,usiende kujifanya mhumili Kwan aliyetoka alifanya mhimili lini?
Au ndo huyo aliyekuwa anasema "Kuna mwingine tumeshauriana sana na katibu Mkuu kumtumbua tunashindwa "

Mtu kupata division one O na I level sio kigezo cha kumpatia kazi...wakati akiwa commissioner wa TRA hukuona hizo divionsin one ,mbona wakati ulisema ameshindwa kazi Leo ndo ataweza kazi ?
Tusubiri wizi mwingine wa matrioni yakienda chato .
Kwa tafsiri yangu wakati akiwa TRA alikuwa na division 2, alivyoondolewa akaenda kuwa RAS akapata muda wa kurisiti paper akapiga division one then rais akampa uCAG!
 
Back
Top Bottom