Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
PumbaffWHO yakubali msimamo wa Tanzania kuhusu ‘lockdown’
Na Mwandishi Wetu
GENEVA, Mjumbe Maalum wa Shirika la Afya Duniani (WHO) na Mkurugenzi Mkuu wa Convid-19, Dkt. David Nabarro amependekeza kuwe na jamii ambayo watu watakuwa tayari kuuzoea na kuishi na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) badala ya kuendelea kuwekewa zuio la kukaa ndani (lockdown) au kutoka kwa mashariti, kwani hatua za awali zinaonyesha hakuna chanjo au tiba ya virusi hivyo.
Wachambuzi wa masuala ya afya wameueleza mtandao wa TimesMajira Online kuwa, hatua hiyo ni ushindi mkubwa kwa misimamo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo tangu awali ilikataa kuweka zuio la watu kukaa ndani, ikiwa ni agizo la Rais Dkt. John Magufuli huku akiwasisitiza wananchi kuzingatia miongozo yote inayotolewa na Serikali ikiwemo kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, kuvaa barakoa, matumizi ya vitakasa mikono na kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima.
Dkt.Nabarro ametoa taarifa hiyo kupitia akaunti yake ya Twitter akisema kwamba kuendelea kuwawekea watu zuio, kunaweza kuwaumiza zaidi kutokana na athari zake kwa watu na uchumi wa mataifa kwa jumla.
“Virusi hivi vitakuwa na sisi kwa siku za usoni inayoonekana na hakuna mtu anayetaka kuwa katika zuio,kama tulivyo na wakati huu,”amesema.
Fuata link ifuatayo for more information.
WHO yakubali msimamo wa Tanzania kuhusu 'lockdown' - TimesMajira
Chuki yako inaonyesha una msongo wa mawazo ..walikulawiti ukiwa mdogo sasa una nguvu hawawezi?
Uongo wao ni kusema Raisi amewafire watu wa Lab, Pili kusema hawahitaji WHO au mambo yao ,na hii ya kusema papaya ni "There is only one truth and that truth is with President Magufuli
View attachment 1450331
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunawakati nilikua mgumu sn kuelewa maamuzi ya raisi wetu kukataa lockdown lakini kadri muda ulivyokuwa unaenda niliweza kumuelewa. Nchi za wenzetu walioamua kutumia njia hiyo ya lockdown mwishowe wameshindwa wameamua kurudi mitaani kuchapa kazi licha ya kuwepo na maambukizi na vifo vitokanavyo na covid-19. Tukisema kweli kuutokomeza huu ugonjwa sio jambo la muda mfupi sasa tujiulize hv tunaweza kuweka nchi kwenye total lockdown kwa miezi tano sita kweli. N jambo gumu sn. Big up raisi wetu kwa maamuzi magumu na ya busara.
Umewahi kusoma epidemiology of diseases, particularly infectious diseases?Mh Mtukufu KUB, atangaza amri ya watoto wake kususia Bunge wakajifungie majumbani kwao, kulinda afya zao kwa siku 14, na baada ya hapo warudi Bungeni!!!! Je, walioachwa wakiendelea na Bunge wameudhibiti ugonjwa? Akili za kitoto hizo.
Siku hizi hata WHO wanashiriki kwenye udaku!Kweli dunia imeisha.Hivi na wewe uliyeleta taarifa hii umejiuliza wamejuaje,au umebeba tu taarifa nzima nzima?Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza kuondoka
Amesema chanjo inaweza kupunguza madhara ya #CoronaVirus, lakini chanjo inapaswa kuwepo na kuwa na ufanisi wa hali ya juu na kupatikana kwa kila mtu duniani
======
The new coronavirus may never go away and may just join the mix of viruses that kill people around the world every year, Dr. Mike Ryan, executive director of the World Health Organization health emergencies program, said Wednesday.
"This virus just may become another endemic virus in our communities and this virus may never go away. HIV hasn’t gone away," Ryan said.
"I’m not comparing the two diseases but I think it is important that we’re realistic. I don’t think anyone can predict when or if this disease will disappear," Ryan added.
With a vaccine, "we may have a shot at eliminating this virus but that vaccine will have to be available, it will have to be highly effective, it will have to be made available to everyone and we’ll have to use it," Ryan said. "This disease may settle into a long-term problem or it may not be."
Yet the future of coronavirus does not have to be all doom and gloom, according to WHO infectious disease epidemiologist Dr. Maria Van Kerkhove.
"The trajectory of this outbreak is in our hands," Van Kerkhove said during Wednesday's briefing.
"The global community has come together to work in solidarity," Van Kerkhove said. "We have seen countries bring this virus under control. We have seen countries use public health measures."
WHO director-general Tedros Adhanom Ghebreyesus echoed Van Kerkhove's sentiments on Wednesday and added, "We should all contribute to stop this pandemic."
Ina shida gani hiyo link,ni uchama,uzandiki na wivu tu,hamna lolote.Kila jambo jema mnalipaka matope,ifike mahali muone aibu.Ndio maana watu wenye akili wanawadharau.Umepitia hata hiyo link?
Najua kwa nini mimi pumbafu,Magu kasifiwa tena.Vimbeni mpasuke basi CDM.
Rais wa TWITA ndio amesema ana nyemelezi na pia DADA wa TAIFA alisema ana KIBETRI kwenye Moyo.Kwani mwamba ana nyemelezi? Si alikuwa anapigaga mpaka pushapu na kuruka kutoka juu ya gari enzi zile?
Lockdown inatakiwa iwe ya muda gn lamda hebu tuekeweshe. Coz km ni ya mwezi au miezi miwili wote walioaply hiyo njia wamefeli. Au lamda utusaidie ni nchi gan iliyofanikiwa kuutokomeza korona kwa lockdownNi upumbavu wa hali ya juu kuamini lockdown ni ya milele.
Mkuu huu ni udaku na fearmongering on the part of the WHO of the highest order.It is unprecedented. Shirika lililopewa jukumu la kulinda afya za watu linachangia kuharibu afya zao kwa kuwaletea hofu,it should go.Hivi niamini kwamba WHO haifahamu athari za hofu kweli,no ni makusudi,tena yale yale ya the Deep State a.k.a.NWO.Statements kama hii>The World Health Organization’s head of health emergencies said the coronavirus causing Covid-19 could become a long-term threat to be managed, not one that can be eradicated< ni luciferian na statement ambayo inaleta hofu kwa watu,na kiukweli haipaswi kutoka WHO.Kwanza uhakika huo wameupata wapi?Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza kuondoka
Amesema chanjo inaweza kupunguza madhara ya #CoronaVirus, lakini chanjo inapaswa kuwepo na kuwa na ufanisi wa hali ya juu na kupatikana kwa kila mtu duniani
======
The new coronavirus may never go away and may just join the mix of viruses that kill people around the world every year, Dr. Mike Ryan, executive director of the World Health Organization health emergencies program, said Wednesday.
"This virus just may become another endemic virus in our communities and this virus may never go away. HIV hasn’t gone away," Ryan said.
"I’m not comparing the two diseases but I think it is important that we’re realistic. I don’t think anyone can predict when or if this disease will disappear," Ryan added.
With a vaccine, "we may have a shot at eliminating this virus but that vaccine will have to be available, it will have to be highly effective, it will have to be made available to everyone and we’ll have to use it," Ryan said. "This disease may settle into a long-term problem or it may not be."
Yet the future of coronavirus does not have to be all doom and gloom, according to WHO infectious disease epidemiologist Dr. Maria Van Kerkhove.
"The trajectory of this outbreak is in our hands," Van Kerkhove said during Wednesday's briefing.
"The global community has come together to work in solidarity," Van Kerkhove said. "We have seen countries bring this virus under control. We have seen countries use public health measures."
WHO director-general Tedros Adhanom Ghebreyesus echoed Van Kerkhove's sentiments on Wednesday and added, "We should all contribute to stop this pandemic."
[emoji33]Rais wa TWITA ndio amesema ana nyemelezi na pia DADA wa TAIFA alisema ana KIBETRI kwenye Moyo.
Kafanikiwa vyote.Ushindi huo maana yake ni nini hasa? Kwamba Rais Magufuli amefanikiwa kudhiti korona au kudhibi athari ya mlipuko kiuchumi?
Sihitaji kulipwa,nina kipato cha kutosha.I do it out of love for my nation ili wananchi na watu wengine wasipotoshwe,that is all.