Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,922
- 861,495
MPlease anybody who believes from the heart that there are profits/benefits for us THE PEOPLE in this East African Federation thing, please use this place to convince me, I badly need to take this in, as it is here, with us, I need to, I have to know it, (not the political side only).
THANK YOU FOR YOUR TUITION!!!
Hiki ni kiswahili au ni Lugha gani ? Mwambie boss wako January akufundushe Kiswahili kwanza ndipo pia akufundishe na jinsi ya kumtetea ! Huu utetezi wako hautasaidia Watanzania kuacha Imani kuwa January na mwanvita ni wezi na matapeli wa kimataifa .Magufuli ni lazima atawashangazeni watanzania kwa either kukaa kimya au kujitokeza na kuwatikaneni kuwa 'kuna mijitu mmekaa kimbea mbea tu, tenavwengi wenu wanaume, mnaacha juleta mawazo ya jujenga nchi ninyi mnatafuta jukwamidhana tu. Hivi mnadhani tukianza kunyoosheana vidole kuna nani wa jubaki' ( in Magufuli tone)
Aisee kumbe chanzo ni kuukashifu utawala wa mzee wa msoga?Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Mkuu umesomeka.Kilichotokea ni rahisi sana! Ndani ya ccm kuna kikundi cha kimafia na kilipata nguvu mno wakati wa utawala uliopita... Hiki kina siri za watu wengi sana wamekaa nazo kama asset
Few days ago January akasimama kuusema vibaya utawala wa Kikwete! Utawala ambao yeye ni sehemu yake!!! Akaunanga sana bila kujali maumivu waliyo nayo wale wenzake walioachwa na Magu
Yeye kachukuliwa na Magu Kama asante ya kufanikisha wizi wa kura kwahiyo alipaswa kukaa kimya, lakini akajiona msafi sana, mafia wale wakaingia kazini wakafanya yao wakamtupia chizi mange naye akafanya yake
Chuki zipi ? Upumbavu upi? Wewe unayewatetea Wezi ndiyo mpumbavu mkubwa, Nani aache kazi zake aende kushinda Mahakamani , wenyewe Wamekiri kuwa walichukua pesa na sauti ni zao Sasa wewe unataka ushahidi gani ?nendeni mpeleke ushahidi mahakamani mlivyo wapumbavu mnakuja huku kwenye mitandao haiwasaidii chochote mtabaki tu na chuki zenu za kipumbavu...
Tusubiri ushahidi haujatolewa woteGift given in form of love,cannot enforced under the court of law(Zawadi iliotolewa katika mfumo wa hisia za mapenzi, kumsaidia mpenzi au walio karibu na Mpenzi, haina uhalari mbele ya mahakama za kisheria). Muitaliano Alimpa Mwamvita pesa katika nasaba ya Mapenzi, alaf Mwamvita akamsaidia Kaka katika siasa, hapo Muitaliano kapotea maana hawezi kuidai kisheria zaidi ya kumfata Mwamvita amsadie. Ata Mimi shemeji nilipokuwa nasoma, alimpa Dada ada, na Dada alinilipia, kwahiyo shemeji hawezi kuja kunidai Mimi ada alizolipa kwa sababu Dada amempiga chini, waongee na Dada wamalizane huko wasinichafue.Makamba piga kazi ,hayo ni mapito tu.
Mbona kipindi anamchafua EL alikuwa ashamchafua January naona hizi connections hazi make sense.Yap yap braza!!!
Then binti ana hasira na January kwa kutolipwa hela ya mradi wa kumchafua sana EL maana walimtumia pia....
In short dada anatumika kama condom!
Mkuu wewe ni Makamba? Badilisha ID basi.tafuta maisha yako acha kuwa na wivu na maisha ya wengine hayakuhusu..mind your own business
Huu Utetezi wako hauna Mashiko nadhani haujasikia Yale maongezi Yao , pesa haikutoka kwenye mapenzi bali ni Ahadi ya kupewa Tenda Bandari ya Bagamoyo , Kama ni pesa ya kuhongwa mbona Rostam Aziz , Rais wa Kenya na wa Zambia wamewahi kuchepuka naye na amewafanyia vituko Kwa kuchepuka na Daimond na Sasa anachepuka na Sheria ngowi , wewe unawatetea watu ambao hawabebeki tena unajisumua bure, Watanzania wa Sasa sio bongo lala wapo makini sana wanawajua hao Vijana kuwa ni wezi na matapeli wa kimataifa hata uje na utetezi gani haitasaidia kuwasafisha.Gift given in form of love,cannot enforced under the court of law(Zawadi iliotolewa katika mfumo wa hisia za mapenzi, kumsaidia mpenzi au walio karibu na Mpenzi, haina uhalari mbele ya mahakama za kisheria). Muitaliano Alimpa Mwamvita pesa katika nasaba ya Mapenzi, alaf Mwamvita akamsaidia Kaka katika siasa, hapo Muitaliano kapotea maana hawezi kuidai kisheria zaidi ya kumfata Mwamvita amsadie. Ata Mimi shemeji nilipokuwa nasoma, alimpa Dada ada, na Dada alinilipia, kwahiyo shemeji hawezi kuja kunidai Mimi ada alizolipa kwa sababu Dada amempiga chini, waongee na Dada wamalizane huko wasinichafue.Makamba piga kazi ,hayo ni mapito tu.