T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,529
Wa pili kuzaliwa tukomenti wapi?
V@#uzi la kushiba....Tena mama zima lenye.
Utajuta wengi wao hawakui na mama'z boy, kidogo utasikia mama kasema hivi, mama kasema tusifanye hivi! Mama hapendi nifanye hivi! Kwenye maamuzi mpk mama atoe neno. Mke mtu haaminiki asilimia mia mpk mama atie neno.[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna rangi utaacha kuona
Muanze kuimba na kucheza ntukunyemasisi wa kwanza tufanyaje sasa ?
Mi ulast born wangu hauna tofauti na first born maana niliyoyapitia wakati mwingine hata firstborn haweziKuwa last born kuna raha yake ila huwa natamani ningekuwa na mdogo wangu. Yaani angekuwa mwanangu kwakweli.
Nimejikuta hadi wakubwa zangu nawaita "dogo" lol.
Nyie kalaleni hamna chancena sis first born tunacomment wapi
Gonga hapaLakini bado nimekua kwa kupambana na maisha zaidi ya first born.
Na mke nikaoa first born which came automatically.
Ila kudeka sijui, na mtoto ukideka kwangu utatembezewa fimbo akili ikukae sawa!
Hahahahaaa, na wewe last born nini mkuu [emoji38][emoji38]Gonga hapa
Mke firstborn wanadeka sana nimemfundisha kutodeka mpaka amekaa kwenye laini sipendi nyanyanyanya
Ndo hivo .Hahahahaaa, na wewe last born nini mkuu [emoji38][emoji38]
Hii tumemtumia sana kipenzi cha dingi last born wake.mkitaka kula wali basi tulikiwa tunatuma last born mzee hachomoiDu kuna uzuri wake na ubaya kwa upande wa uzuri nilikuwa bigboss baba akiwa mgumu kutoa hela basi natumwa mimi kwa baba zinatoka . ubaya sasa wote tumezaliwa madume ila wakati wa kupika mie nilikuwa nanyimwa kaka zangu ndio wanapika matokeo yake najua vyakula vichache tena bibi ndie alinifundisha
kwani hafai au anafaa??Mchumba last born? Please
Hafai bwanakwani hafai au anafaa??
he! we wa wapi? hapo full kudekezana no ugomvi..hahahahahaHafai bwana
Mimi pia nisingechomoka aisee, miaka 7 gap na bro ninaemfata.Wa mwisho hapa [emoji2][emoji2][emoji2], 4 years kutoka ninayemfuata.
Mipango ya Mungu tu ndiyo iliyoniibua, otherwise nisingetokea!
Ila sema wazazi huwa hawasemi tu. Gap kubwa wakati mwingine inatokana na uzazi kusumbua (hasa kwa mama). Unaweza kuta mimba nyingi hazikuwa ridhiki halafu bahati inatokea yako inatulia hadi unazaliwa. Ni issue ya kushukuru Mungu tu!Mimi pia nisingechomoka aisee, miaka 7 gap na bro ninaemfata.