Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Bahati nzuri au mbaya mimi ni wakwanza na tuko wawili tu

Nimepishana miaka 11 na mdogo wangu anae nifata ambae ndo wa mwisho
 
Sisi wapili kutoka mwisho tunacomment wapi??

Ila nammaind sana mdogo wangu
Haha nina kaka yangu watoto wake wamepishana 14 yrs hadi tulijua ndo kaishia pale, kama namuona yule mtoto wake wa pili anavyommaindi mdogo wake
 
Bahati nzuri au mbaya mimi ni wakwanza na tuko wawili tu

Nimepishana miaka 11 na mdogo wangu anae nifata ambae ndo wa mwisho
Miaka 11 parefu sana..nahisi ulidhani wewe ndie utakaekua wa kwanza na wamwisho
 
Haha nina kaka yangu watoto wake wamepishana 14 yrs hadi tulijua ndo kaishia pale, kama namuona yule mtoto wake wa pili anavyommaindi mdogo wake
Aisee...gape kubwa sana..[emoji23][emoji23] kumaindi lazima..hawa wa mwisho wanatupotezea attention ya wazazi basi tu hatuna jinsi
 
Aaah huwa inatokea pia hii ktk familia
Baba angu alikua ananiona kama Mimi ndio wa mwisho..hakutaka nifanye kazi yoyote ya nyumbani si kupika wala kufua...wakati nasoma ndio kabisa anipeleke kwanza shule ndio aende kazini hadi wenzangu walikua wanachukia
 
Lakini naamini ulijiongeza na kujifunza domestic work kama kupika,kuosha vyombo etc maana kama uliendelea kudega na unamentality ileile you will be in trouble mkuu....japo si jambo la ajabu mtoto mmoja kupendwa zaidi
 
Utakuwa wakusin ww
ASANTE Sky. Kuwa last born raha sana isipokuwa pia kuna adha zake kama kutumwa tumwa hovyo. Unakula na wanaume nje kwenye kikome unaambiwa ufuate mboga ukiileta hata hujakaa jamaa wameshachukua nyama zote wamebakiza mchuzi. Unapiga tonge moja la ugali mzee mwingine anataka maji ya kunywa, kundi jingine huko limeishiwa mboga, huyu mwingine naye keshamaliza kula anataka moto wa kuwashia sigara yake inabidi uende ukamletee. Usipokuwa mjanja unaweza ukashinda na njaa. Inabidi ujanjaruke mapema na katika kujanjaruka huku ndo unajifunza maisha na heka heka zake kungali mapema.
 
Lakini naamini ulijiongeza na kujifunza domestic work kama kupika,kuosha vyombo etc maana kama uliendelea kudega na unamentality ileile you will be in trouble mkuu....japo si jambo la ajabu mtoto mmoja kupendwa zaidi
Nilijiongeza mkuu..mtoto wa kike kutokujua kazi za nyumbani ni mzigo eti tena aibu kubwa sana
 
Nilijiongeza mkuu..mtoto wa kike kutokujua kazi za nyumbani ni mzigo eti tena aibu kubwa sana
Yeah hapo sawa maana mnatupa mtihani waoaji cos mtu unaoa ashazoea hadi kufiliwa nguo, hata Ugali hajui kusonga....anasahau majukumu yake kabisa, hongera wish utakaeonana naye ataenjoy kuoa mke
 
Nyie watt wa mwisho ndio mnatufanyaga sisi wa kwanza tuumize kichwa namna ya kuwalea wazazi watakapotangulia mbele za haki
 
Wote walichezea bakora za mzee lakini mimi sikuonja hata moja .zaidi ya kufinywa na mama kwa uvivu wa kula. Kichapo nilichezea kwa brother mkubwa tena alikuwa ana watime wazazi wako kazini.
Aisee! Licha ya ukali wa Baba nakumbuka alinichapa mara moja tu....labda kama ilitokea kabla sijaanza kuweka kumbukumbu -3 Yrs!Siku hiyo tuliamua kupata damu ya mbuzi kwa kumchuna kidogo tupate damu ya kichuri! Huwa najiuliza pengine nilikuwa na maadili ya kutosha bila kumuudhi baba.Hata mama sikumbuki ni lini alinichapa! Nafurahi kuwa na wazazi Bora sna! RIP Baba! Nafurahi kuwa nilkuwa pembeni yako wakati unamaliza kazi hapa Duniani!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa kutuanzishia uzi, ila tuseme "wa mwisho kwa mama[emoji23][emoji23]" manake kwa baba huwa haijulikani...
 
Back
Top Bottom