Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Ila sema wazazi huwa hawasemi tu. Gap kubwa wakati mwingine inatokana na uzazi kusumbua (hasa kwa mama). Unaweza kuta mimba nyingi hazikuwa ridhiki halafu bahati inatokea yako inatulia hadi unazaliwa. Ni issue ya kushukuru Mungu tu!
Kwakweli
 
Tumezaliwa watatu mabint wawil na wa kiume ni pekee na ndo wa mwisho
 
Write your reply...hata hvyo kuwa wa kwanza ni ufahari familia inategemea mm kukuangalia wewe wa mwisho
 
Lakini bado nimekua kwa kupambana na maisha zaidi ya first born.

Na mke nikaoa first born which came automatically.

Ila kudeka sijui, na mtoto ukideka kwangu utatembezewa fimbo akili ikukae sawa!
Hii combination ya first na last born inakuwa pouwa sana
 
Dogo langu la mwisho la kiume nilikua nalitindua tu hasa wazee wakiondoka, ebana ee likapata mbavu tukaanza kutinduana daily. Nikasema mjinga huyu ngoja nimuendee gym na kila tukiamka nakula vi push up hapo linanicheki tu, likaanza kuniogopa sasa nikawa nalipiga mikwara tu kuli test likawa linanywea balaa.
 
I'm proud to be last born kwa kweli.japo mama Ana wajukuu kutoka kwa dada zangu ila bado Kuna nafasi flani ninayo

Pia ndo mtoto pekee niliebakia nyumbani
Macho yote kwangu
 
Wa mwisho hapa [emoji2][emoji2][emoji2], 4 years kutoka ninayemfuata.

Mipango ya Mungu tu ndiyo iliyoniibua, otherwise nisingetokea!
Mimi sometimes nikikaa na mama huwa namshukuru,Kuna gap kubwa mm na mwenzangu ,mama alinizaa akiwa na umri mkubwa akanichoropoa mtoto wa 7.mm na St born tumepishana miaka 20
 
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.

Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
tupo pamoja..
 
Mimi kaka yangu tulifuatana kwa kupishana 3years hivyo tumepigana sana. Na hivyo nilikuwa mchokozi wala mama hakunitetea likitokea la kutokea. Ila baba ndio hakutaka hata niguswe. Nikipigwa asubuhi nasubiri muda baba anarudi naanza kulia upyaaaaa.

Ila nilipobaki na mama tu ndio alinidekeza balaa, hadi vyombo tulikuwa tumewekeana zamu ya kuosha🙈🙈🙈🙈
ahaaahhaaaaahaaa umenifanyaa nikumbukee mbali sana daah mpakaa sasa nadekaa kweli mtoto hakui kwa mama
 
Mimi sometimes nikikaa na mama huwa namshukuru,Kuna gap kubwa mm na mwenzangu ,mama alinizaa akiwa na umri mkubwa akanichoropoa mtoto wa 7.mm na St born tumepishana miaka 20
Mkuu, bora wewe! Mimi gap langu na first born ni miaka 24 [emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom