Watoto wa mwisho tukutane hapa

Watoto wa mwisho tukutane hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,418
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.

Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.

Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.

Karibuni ma last born wenzangu.
 
Raha yake hata niwachokoze nikidundwa mama alikuwa anasema mtoto anaonewa
Mimi kaka yangu tulifuatana kwa kupishana 3years hivyo tumepigana sana. Na hivyo nilikuwa mchokozi wala mama hakunitetea likitokea la kutokea. Ila baba ndio hakutaka hata niguswe. Nikipigwa asubuhi nasubiri muda baba anarudi naanza kulia upyaaaaa.

Ila nilipobaki na mama tu ndio alinidekeza balaa, hadi vyombo tulikuwa tumewekeana zamu ya kuosha🙈🙈🙈🙈
 
Wote walichezea bakora za mzee lakini mimi sikuonja hata moja .zaidi ya kufinywa na mama kwa uvivu wa kula. Kichapo nilichezea kwa brother mkubwa tena alikuwa ana watime wazazi wako kazini.
 
Back
Top Bottom