presider
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,453
- 1,947
Me nlipishana na Kaka yangu mwaka mmoja tu. I'm Proud to be last born.Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake.
Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa home alone kama the only child.
Dada mkubwa ndiye alinifundisha taugh life kama kufua , kupiga deki, kupika. Bila yeye ningekua spoilt rotten.
Karibuni ma last born wenzangu.